Madereva bajaji ana bodaboda wana siri nyingi sana za ndoa..

Attitude,personality,integrity kipi hasa chamuelezea mtu.?
I understand where you want to take me.

Nilicomment hivyo kutokana na uzi... the thread is all about cheating..umenipata?
 
Siku hizi hata wenye magari yao hawayatumii sana wakati wa kwenda kuchepuka, wanaita uber ili mambo ya wambea yasiwe mengi mara nimeona gari la baba xyz linaingia mtaa/hotel flani!!
 
Katika kazi ninazozitamani mojawapo ni bodadabo kuna marupurupu mengi ya nyuchi,
 
Hali ni tete. Kuna mahali nilifika asee rate ya wanandoa wa jinsia zote kuchepuka ziliniogopesha. Niliishi pale Kwa miezi 6 Ila sikuweza kuwa na rafiki wa kike maana story zote ni kuhusu pombe na mabwana ( mwanamke mmoja anamiliki michepuko hata 5 na ameolewa). Mwisho niliconclude kwamba kweli Ukimwi haupo na km upo Basi ARVs zimepunguza kasi ya maambukizi Kwa kiasi kikubwa maana kila aliyekuwa anapima yupo negative ( data nlipata kwenye mradi wa Ukimwi niliokuwepo).
 
Hali mbaya kuliko unavyo dhani.. kama ukiweka CCTV nyumbani na anaye baki nyumbani anatakiwa aweke CCTV kazini kwa mwenza wake
FB_IMG_1577565996622.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attitude,personality,integrity kipi hasa chamuelezea mtu.?
Nadhani integrity ina nguvu zaidi ya attitude na personality ya mtu. Hii ni kwa sababu personality au attitude ya mtu inaweza kuwa positive au negative lakini integrity means only honest and strong good/positive moral person nothing to do with negativities. In other words personality and attitude are all covered within integrity.
 
Hali ni tete. Kuna mahali nilifika asee rate ya wanandoa wa jinsia zote kuchepuka ziliniogopesha. Niliishi pale Kwa miezi 6 Ila sikuweza kuwa na rafiki wa kike maana story zote ni kuhusu pombe na mabwana ( mwanamke mmoja anamiliki michepuko hata 5 na ameolewa). Mwisho niliconclude kwamba kweli Ukimwi haupo na km upo Basi ARVs zimepunguza kasi ya maambukizi Kwa kiasi kikubwa maana kila aliyekuwa anapima yupo negative ( data nlipata kwenye mradi wa Ukimwi niliokuwepo).
Hapo ulipoishi miezi sita sio sinza dar es salaam aisee? nako wanawake wanachepuka na kunywa pombe vya kutosha!!
 
Nadhani integrity ina nguvu zaidi ya attitude na personality ya mtu. Hii ni kwa sababu personality au attitude ya mtu inaweza kuwa positive au negative lakini integrity means only honest and strong good/positive moral person nothing to do with negativities. In other words personality and attitude are all covered within integrity.

Personality ni kubwa kuliko attitude na integrity maana personality ndo inayo kutambulisha wewe ni Nani. Hizo attitudes, integrity ni moja kati ya attributes nyingi ambazo zaweza kuwa ndani ya personality ( I mean zinabebwa na personality na zinaweza zisiwe permanent /zaweza kubadilika with time)
 
Hapo ulipoishi miezi sita sio sinza dar es salaam aisee? nako wanawake wanachepuka na kunywa pombe vya kutosha!!

Ndugu ni kijijini Huko Kwa wapare.... Niliogopa asee nkajiuliza ni Mimi niko nyuma ya wakati au ni dunia Ndio imevurugwa? Si watoto , vijana na wa umri wa makamu kila mtu anahangaika. Hao boda Ndio wana kazi ya kusomba michepuko kupeleka gest na pub maana hata hakuna bar ni vipub tu
 
Nimeongea na kijana hapa dereva wa bajaji ananiambia huwa anapeleka mke na mume kuchepuka guest kwa wakati tofauti na hakuna anayejua mwenzake anachepuka.

Anasema mke huwa anaenda kuchepuka mchana kuanzia saa 5 asubuhi wakati mume yupo kazini.. na weekend mume hutumia dereva huyo huyo kwenda kuchepuka guest nyingine.

Mume hajui kama mkewe anachepuka na mkewe hajui kama mume anachepuka ila huyu dereva ana mkanda mzima.

Ndoa zina mambo mengi sema muda mchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu akakutuma uje kutuambia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da'Vinci Integrity ni kuwa mkweli...honest. Sio tu uonekane mkweli lakini hiyo kweli itoke moyoni.

Ni neno pana saana.

Mfano: nikikukaribisha kwangu kisha nikakupa juice ukanywa ukamaliza nilipotaka kukuongeza ukasema hapana ila nilipokuaga naenda kununua mboga ukafungua friji ukajimiminia kisha ukafuta ushahidi nisijue tayari umekosa integrity.

Mfano 2 : Unafanya kazi kwa kujituma pindi umwonapo boss akitoka tu unategea tayari umekosa Integrity.
integrity ni kuwa mkweli na muaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Personality ni kubwa kuliko attitude na integrity maana personality ndo inayo kutambulisha wewe ni Nani. Hizo attitudes, integrity ni moja kati ya attributes nyingi ambazo zaweza kuwa ndani ya personality ( I mean zinabebwa na personality na zinaweza zisiwe permanent /zaweza kubadilika with time)
Smart one na hivo ndio navyofahamu mimi..
Only personality define who you are
 
Ndugu ni kijijini Huko Kwa wapare.... Niliogopa asee nkajiuliza ni Mimi niko nyuma ya wakati au ni dunia Ndio imevurugwa? Si watoto , vijana na wa umri wa makamu kila mtu anahangaika. Hao boda Ndio wana kazi ya kusomba michepuko kupeleka gest na pub maana hata hakuna bar ni vipub tu
Nakuelewa sana, Upareni ni hatari sana

Nimeshafanya kazi huko mwaka Jana na ni zoezi la kiafya kama hilohilo

Aisee kule hakunaga kukataa au kukataliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom