Madenge alivyoitikisa Tanzania

Agiza maziwa kwenye ATM hapo mazee natuma pesa kwenye ATM ya crdb ulipe..hakika umekumbuka vema sana hawa jamaa na hii timu iliyotuburudisha sana nyakati zile nazurura posta kariakoo mnazimmoja, temeke labda nitakutana na hata mmoja wao, la sikufanikiwa ila nilijipa moyo mpaka siku nilipojieleza adhma yangu mbele ya wakubwa home wakanicheka sana na kuniambia hizo ni hadithi na watu Wa kutungwa tu...
Shukurani ya kumbukumbu hizi imwendee Marco Tibasima anayeamsha vionjo vya kuzikumbuka enzi zetu tukilifurahia gazeti la Sani kwa simulizi maarufu kama Maji Mazito by S.M.M. Bawji, kulikuwa na Lodi Lofa, mpambano wa Zena na Betina unaosababishwa na Pimbi, mechi za soka kati ya timu mahasimu Born Town na Bush Stars, vituko vya Kipepe, Madenge...

Michoro marufu ya mwana sanaa Raza Mohamed, Philip Nduguru, John Kaduma, Ted Marealle, Chritian Gregory ' Chakubanga', Douglas Mpoto, Kibonge S. Kibenga 'Majoka', Raza Mohamed, Hayati 'King' Marco Mussa, Ibra Radi Washokera, Chris Katembo, Hayati John Mathias Kaduma 'Fogasta', Ali Masoud Kipanya, Paul Ndunguru, Marco Tibasima, James Gayo, Cloud Chatanda, Fortunatus Ndilla ' Mtaalam'
 
Hivi hizi hadithi nazo zilikuwa Sani au Tabasamu?? Au wapi??, za Adili na Nduguze, kulikuwa na Jamaa Kuu la maadui uaji Mzee Chino kama sijasahahu, ila kulikuwa na mtemi mzalendo wa kweli mpelelezi na tiss wa miaka hiyo wa ukweli alikuwa anazifurumisha kambi za magenge haya ya maadui watekaji na wauza unga... bahati mbaya jina sijumbuki tena, huyu jamaa kwa wakati uke commando kipenzi alikuwa anasubiri, kweli zamani ilikuwa kweli......
 
Alikua anaitwa Obi na yule demu aliitwa Linda yule mzee aliitwa Ole na kisiwa chaja cha kintintale jambazi mkuu Zumo.
 
Back
Top Bottom