ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
- Thread starter
- #41
Bado point ni zile zile UTANDAWAZI
Hivi anguko la majarida haya chanzo ni nini hasa?
Hivi anguko la majarida haya chanzo ni nini hasa?
Shukurani ya kumbukumbu hizi imwendee Marco Tibasima anayeamsha vionjo vya kuzikumbuka enzi zetu tukilifurahia gazeti la Sani kwa simulizi maarufu kama Maji Mazito by S.M.M. Bawji, kulikuwa na Lodi Lofa, mpambano wa Zena na Betina unaosababishwa na Pimbi, mechi za soka kati ya timu mahasimu Born Town na Bush Stars, vituko vya Kipepe, Madenge...
Michoro marufu ya mwana sanaa Raza Mohamed, Philip Nduguru, John Kaduma, Ted Marealle, Chritian Gregory ' Chakubanga', Douglas Mpoto, Kibonge S. Kibenga 'Majoka', Raza Mohamed, Hayati 'King' Marco Mussa, Ibra Radi Washokera, Chris Katembo, Hayati John Mathias Kaduma 'Fogasta', Ali Masoud Kipanya, Paul Ndunguru, Marco Tibasima, James Gayo, Cloud Chatanda, Fortunatus Ndilla ' Mtaalam'
Serikali iliyapiga marufuku kwa sababu maudhui yake baadhi yalikuwa yanachochea ngono ...Hivi anguko la majarida haya chanzo ni nini hasa?
Zena.Kulikuwa na Betina na nani?!..
Akili ilihama kidogo jamaniZena.
Umechanganyikiwa na nini tena Kigori?Akili ilihama kidogo jamani
Mapungo ni golden boy alienda mpk Real Madrid, wajinga ndio waliwao maana wengine tulijua ni kweli
Lodi Lofa na SokomokoView attachment 1233219
We huoni kwenye mfuko wa nyuma kuna chupa ya gongo?Hiyo Picha inaonesha Sokomoko ana alosto sana ya konyagi mwitu
Pitia vzuri cmmt kuna MTU amjibuHaya magazeti ya SANI hayakuwa na mwandishi/publisher akijulikana kwa jina la KATALAMBULA?
Aaah wapi umewafananisha na wale wa Noah yongolo.wale mapacha waliitwa Sunche na Kapeto
Alikua anaitwa Obi na yule demu aliitwa Linda yule mzee aliitwa Ole na kisiwa chaja cha kintintale jambazi mkuu Zumo.Hivi hizi hadithi nazo zilikuwa Sani au Tabasamu?? Au wapi??, za Adili na Nduguze, kulikuwa na Jamaa Kuu la maadui uaji Mzee Chino kama sijasahahu, ila kulikuwa na mtemi mzalendo wa kweli mpelelezi na tiss wa miaka hiyo wa ukweli alikuwa anazifurumisha kambi za magenge haya ya maadui watekaji na wauza unga... bahati mbaya jina sijumbuki tena, huyu jamaa kwa wakati uke commando kipenzi alikuwa anasubiri, kweli zamani ilikuwa kweli......