Mademu wengi wanateseka juu yangu...

Mademu wengi wanateseka juu yangu...

Hahahahaha umejifagilia.....!!
Huna picha zao.....?
 
Boflo wanahangaika kukutafuta kwa sababu wanamisi hivyo ulivyozowea kuwapa-usipotoa wote watayeyuka!!

Hilo yeye halielewi. Kwani nani ataona shida kufanya jitihada ya kuchota hela za bure? Hata kama ziko juu ya mlima kilimanjaro ataamini bora akafie huko!
 
he he he, nikiingia kwenye fani nimedhamiria.

Hapa hakuna cha mtanga wala mmombasa, niko kama pangaboi.

Tena usiende bila appointment, utaumbuliwa na walinzi wakati Boflo anakuchora kwenye moja ya monitor iliyoko kitchen, shauri yako akiileta picha yako JamiiPhoto! LOL
 
Boflo, ukiona wamekuchuna umeishiwa unajifanya kuwachunia ili upate muda wa kukarabati uchumi!
 
he he he, nikiingia kwenye fani nimedhamiria.

Hapa hakuna cha mtanga wala mmombasa, niko kama pangaboi.

Ha ha ha,
Nani kanununilia mwenzake bia na nyama choma? (ni wewe)
Nani kalipia chumba guest? (ni wewe)

Sasa kwanini nat.mba mimi... Tulia wewe!

(hayo ni mazungumzo kati ya mmasai na mwanamke wa kimakonde baada ya mdada kumzungusha Masai kama pangaboi)
BTW Boflo ni Mnyamwezi, usijesema sikukutonya!
 
Broo we mm'bayaa, kizuri kula na nduguzo mkuu, nielekezee mmoja na mi nimpe majotoo
 
Wanawake kwa vitu ulivotaja, lazima wakutafute Boflo
 
Last edited by a moderator:
huyu Boflo hana lolote apeche alolo a-be-che-de-a!!
kaemu unakokahangaisha ni kamoja tuuu afu unasema wako wengi ......ushuzi mtupu!!!

wacha nikanunue bolfo la ukwe'e nilikatekate nilitie jemu na tani bond ninywe chai ya maziwa ya cowbell.........
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha,
Nani kanununilia mwenzake bia na nyama choma? (ni wewe)
Nani kalipia chumba guest? (ni wewe)

Sasa kwanini nat.mba mimi... Tulia wewe!

(hayo ni mazungumzo kati ya mmasai na mwanamke wa kimakonde baada ya mdada kumzungusha Masai kama pangaboi)
BTW Boflo ni Mnyamwezi, usijesema sikukutonya!
.
Kaunga Ha! ha! ha! .... sipati picha jinsi alivyokuwa anaongea kwa lafidhi ya Kimasai!
.
 
Wananipigia simu na sms kwa sana tu(nauchuna)

Wananifata home(Nawacheki kwenye security cam, nauchuna au namwambia mlinzi amwambie siko/nimesafiri)

Wananifatilia sana..........n.k


Ama kweli nimeamini....ukitaka kumtesa mwanamke usimpige fimbo wala ngumi, mpe good time, mpe cash,

mpe starehe to the maximum...kisha achana naye......atapata shida sana na atakutafuta sana....

Wengi nimewafanyia hayo, wananitafuta sana...wananifatilia sana, hawana raha na maisha.

What do they miss Boflo? Wanamiss kisima cha mahela walichozoea kuchota i guess. Kicheko!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom