Mademu wengi wanateseka juu yangu...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Wananipigia simu na sms kwa sana tu(nauchuna)

Wananifata home(Nawacheki kwenye security cam, nauchuna au namwambia mlinzi amwambie siko/nimesafiri)

Wananifatilia sana..........n.k

Ama kweli nimeamini....ukitaka kumtesa mwanamke usimpige fimbo wala ngumi, mpe good time, mpe cash,

mpe starehe to the maximum...kisha achana naye......atapata shida sana na atakutafuta sana....

Wengi nimewafanyia hayo, wananitafuta sana...wananifatilia sana, hawana raha na maisha.

Wananipigia simu na sms kwa sana tu(nauchuna)

Wananifata home(Nawacheki kwenye security cam, nauchuna au namwambia mlinzi amwambie siko/nimesafiri)

Wananifatilia sana..........n.k

Ama kweli nimeamini....ukitaka kumtesa mwanamke, mpe good time, mpe cash, mpe starehe to the

maximum...kisha achana naye......atapata shida sana na atakutafuta sana....

Wengi nimewafanyia hayo, wananitafuta sana...wananifatilia sana, hawana raha na maisha.
si huna nguvu za kiume wewe punga? nimeshangaa kwenye post ile nyingine kuhusu yule mtetea shoga wa uganda na wewe umetetea sana ushoga,...wewe nawe ni shoga huna jipya....mnatakiwa kuchomwa moto hapa tz...hamfai kuishi.
 
mmhh, ngoja na mie nikusake unipe mahela na maraha.

Tena usiende bila appointment, utaumbuliwa na walinzi wakati Boflo anakuchora kwenye moja ya monitor iliyoko kitchen, shauri yako akiileta picha yako JamiiPhoto! LOL
 
Tena usiende bila appointment, utaumbuliwa na walinzi wakati Boflo anakuchora kwenye moja ya monitor iliyoko kitchen, shauri yako akiileta picha yako JamiiPhoto! LOL

ww mtata sana, kwa nn niweke monitor kitchen?
 
Ndio maana jana nimekupigia hukupokea.lol!
Kumbe ndivyo unavyo tunanga, Haka kamtandao tukowangapi?
 
si huna nguvu za kiume wewe punga? nimeshangaa kwenye post ile nyingine kuhusu yule mtetea shoga wa uganda na wewe umetetea sana ushoga,...wewe nawe ni shoga huna jipya....mnatakiwa kuchomwa moto hapa tz...hamfai kuishi.

Mdogo wangu Ubungoubungo, kila mtu ambaye ni mwanachama halali wa JF ana uhuru na haki ya kuchangia na kutoa mawazo yake na mtazamo wake juu ya jambo fulani. Lugha uliyoitumia dhidi ya Boflo kwa kweli si ya kiungwana. Nashauri tupeana mawazo na mitazamo yetu bila kutumia lugha kali au matusi, vinginevyo tunaweza kujikuta tunachangia mada kwa kuangalia id(username) ya mtu na hivyo kujikuta tunachangia kwa jazba, upendeleo au chuki. Kwa kweli hatutafika.
 
Last edited by a moderator:
Boflo wanahangaika kukutafuta kwa sababu wanamisi hivyo ulivyozowea kuwapa-usipotoa wote watayeyuka!!
 
Haya sijui yametoka wapi?

si huna nguvu za kiume wewe punga? nimeshangaa kwenye post ile nyingine kuhusu yule mtetea shoga wa uganda na wewe umetetea sana ushoga,...wewe nawe ni shoga huna jipya....mnatakiwa kuchomwa moto hapa tz...hamfai kuishi.
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom