Mademu wakimya mnakera mnoo


Mfanooo
 
ukiongea ni balaa. ukinyamaza ni balaa. macho mkubwa ni balaa .macho mdogo ni balaa. maskio mkubwa ni balaa maskio madogo ni balaa. unahela ni balaa huna hela ni balaa .majameni mnataka nn.????

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Aaah aaah aaah hongera boss umelamba cha maana hapo
 
Nadhani wengine wanakuwa na matatizo ya kisaikolojia tokea utotoni mwao, inawezekana kabisa wazazi/mzazi walichangia kwa kiasi huyo binti kuwa hivyo. Wengine ni kwasababu wazazi walikuwa wanamchunga sana na viboko na kukaripia mara kwa mara. Mtoto atakuwa kama unavyotaka sawa atakuwa successful kwenye masomo lakini anajenga uoga na kutojiamini kwa kiasi kikubwa sana na ndio maana ukimpiga mkwala unamuumiza sana maana huwa anakumbuka mateso matusi aliyokumbana nayo alipokuwa mtoto, wengine waliwahi kubakwa na wazazi wao na kuwatishia Maisha, kwa style hio hio ya Question and Answer unaweza kujifunza mengi toka kwake, ukianza na wewe kuelezea past zako ulipokuwa mtoto na shida ulizopitia naamini na yeye anaweza kufunguka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaan acha tu Mi nakutanaga pia na waongeaji wenzangu tunaweza kesha tunaongea usiku kucha [emoji23][emoji23]
Ohoooooo hahahahahhahahaha ha hiyo kali...

Ila Pia Kuna wanaume wanaongea jamani kushinda wanawake loool[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Bila sh Bila Shaka ni game la tample run mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…