Mademu wakimya mnakera mnoo

[emoji23][emoji23][emoji23] aibu yangu ipo kwa wageni tu na watu nisioawazoea..kwa wa ubani Sina aibu hata robo.

Hapo kwenye ulalamishi Sina kwakweli na namshukuru Mungu kwa Hilo..Mimi sio muongeaji Sana ila napenda mno kucheka na hii la kucheka hata nikiwa na mwandani wangu hua anafurahia kwakweli.

Hapo kwenye kushikana mikono hua natamani anibebe kabisaaa aibu sinaga hata kidogo nikiwa na mwenzangu Yani sina
 
Mi nlikuwa na kademu hakaongei hivyo hivyo. Siku nzima kimyaa...nakapigisha stori kanacheka tu afu kimya tena...shida akiongea sasa ni utumbo mtupu...nikawa naprefer kumuacha apige kimya tu..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Basi baharia atakuwa anainjoy sana mapenzi na wewe.
Napenda sana mwanamke anaecheka cheka akiwa na mimi tu ila asimchekee kila mtu.

Unanikumbusha my finest EX Girl, alikuwa na hako katabia hadi sikuwahi kumchoka kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja.
 
Ulimpataje?
 
Ma'mtu makimya nayaogopaga sana mimi,huwezi jua linakufikiriaje!!Hapana asee.!!
 
Itakua hamna chemistry.. Yani hamna historia ya kutosha mliyo share pamoja.. Mme jikuta mshaoana tu
 

Kama hupendi mwanamke mkimya ya nini kuendelea kuwa naye? Stop wasting her time. Tafuta mwanamke atakayekupa furaha na mwenye sifa ambazo moyo wako unatamani.

Kumbuka wewe ukisema sisizitaki hizi, wengine wanawaza ntazipata lini.
 
Wenzio wanapenda wa hivyo we unasema anakukera.
Sema mi sio mpole ila mdomo wangu haujawahi kuwa kikwako kwenye mahusiano yangu.
Na ukinikosea naongea jamani mpaka hasira ziishe na wewe lazima ujisikie dhambi kwa kosa ulilonitendea maana utajisikia hatia sana kunikosea
 
Sema wa hivyo ukimkera maamuzi yake siyo kitoto.... Ishi naye kwa akili mno.,

But kubali kuongelewa vibaya na watu/familia vibaya kuwa umeoa mke ana dharau na kiburi kwa ndugu zako.
 
huyo ndo mzuri wewe,ndo wanawake nnaowataka hao,fanya number yake basii
 
Wangu mie aibu tu
10yrs in marriage ni aibu aibu aibuuu kwa kwenda mbele
Kwa wageni akisalimia tu anazama chumbani kumchomoa huko unahitaji greda na bludoza
hahaaa,aibu hadi.kwako??? hana mdogo wake mkuu tuunganishe undugu??
 
mkuu naweza nikapata number yake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…