Mademu wa KISUKUMA ORIGINAL, Bila ya Mkorogoooooo

d5206052f1e611e191e622000a1d010e_6.jpg

of course the Sukuma girl wears date nite
 
Kwa sababu hakuna msukuma.
Ulimbukeni unatusumbua watz,kuna maneno tunayatumia ktk shm zisizostahili. Uzungu mwngi hauna maana. Dada zangu wametumia kemikali kibao eti olijino. Tafuteni kamusi ili muamshe akili zenu. Jaribuni kuongea vitu tija na mashiko ili tupate faida.
 
Mkuu sio kila wakati ni kazi tu,ndo maana baada ya kazi nzito watu hukutana bar kujaribu kupumzisha akili,wengine huenda beach,wazee hukutana kwenye bao ndo maisha mdundo,sio kila wakati Nape kasema hiki,Kinana kaenda Arusha ama Mwigulu hajui kusoma inachosha inahitaji kupumzika kidogo.
 
Wizi mtupuuuuu! bila hata mang'ombe.
kumbe mnapenda vya kuiga eeeh, haya kueni ila umejishushia pii.
 
Ulimbukeni unatusumbua watz,kuna maneno tunayatumia ktk shm zisizostahili. Uzungu mwngi hauna maana. Dada zangu wametumia kemikali kibao eti olijino. Tafuteni kamusi ili muamshe akili zenu. Jaribuni kuongea vitu tija na mashiko ili tupate faida.

Genago maanike ga basumbha batale ba ma Nassa kwenuko, utamanile mamihayo ga masukuma gakwengela ma habeshi nolo maza nake ga kwengela pande ja ma nyarwanda.
 
Back
Top Bottom