Mademu wa KISUKUMA ORIGINAL, Bila ya Mkorogoooooo

Nilikuwa nikijiuliza huyu mbuzi karudi? Kumbe ni thread ya last year

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
da ! Sema ukwel ,yaan midomo kama wamechinja kuku kwa midomo ,eti bila mkorogo ,tafadhal uwe waz.
 
images.jpg

Huyu ndio Msukuma, semeni sasa

 
hakuna mpush hapo wote vinyago tu, mpush original wa bush anakupigia bodyline au zamani mafuta ya rayz anawaka kama baering za gari ananukia harufu ya mbuzi na moshi wa kuni nyuki wasimfate hapigi kufuli na kumtongoza unamtoa speed unamlamba mtama mchezo kwisha , hao ukimlamba mtema imekula kwako
 
Mbuzi mzee nilikumisije mkuu, mambo kama haya tuliyakosa kwa muda mrefu, karibu sana nyumbani. Ulikuwa wapi bhana?
 
Hivi warembo kutoka sehemu ipi Tanzania wanaongoza kwa kupenda MKOROGO? just for accademic consuption
 
OOOOOOOOOhhhh!!!!! watoto wa Mzee MAHAMBO wa pale MAGU mjini wamekua watu wazima sasa.
 
Back
Top Bottom