Hebu muulize Missy Gf akwambie huo mkesha utakuwa ni wa nn π π .....au unadhani ni wa maombi?π€£π€£π€£Si muoaji anasema nyie mtakuwa mnakesha Kwa maombi Ili kupambana na wanga wa penzi lenu,ndio namwambia sisi tunataka wapwa hayo mambo ya mkesha peleka kaweππ
Tuko pamoja. Tena wewe tutakupa kipaumbele Cha kuchagua jina la first born wetu πHapo sawa shemeji
Afanye usafi kwani alichafua mwenyewe,sometimes unasaidia..
Wanyakyusa toka lini wakawa maflatKama anamsabwandaah,vumilia...kama flat kama shemeji zangu wanyakyusa fukuza,Tafuta maajabu! Hutajuta.
Nimeangalia Id yako..basi sitakujibuVijana Kama nyie ni mzigo kwa Taifa in Magufuliβs voice
Hayo Sasa ndio mambo tunataka yasikiaπKwani unahisi tutakuwa tunakesha tukifanya nn? π π π π
Tukitoka honeymoon, mdogo wako anaanza clinic
Basi andaa na vinepi kabisa πHayo Sasa ndio mambo tunataka yasikiaπ
Ila 0659 wanatoaWengi wao ni seedco a.k.a mbegu fupi.
Alaf wakichukia wanajitundika chap. Atawezana?