Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Wahaya ndio madem wa kuoa............asikwambie mtu they 'll make you special til da very end...........ni uncle wangu kaoa huko na wako naye kwenye 50s na anafaidi usipime!
mpaoooo......obakeiseeeeeeeeee!!!!haijalishi mkuu
mimi napendea maujuzi yao
najua nikipatacho
kweli siwaachi nawapenda saaanaaaa