Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Ni wazuri mno
Umbo namba nane
Wana rangi ya ngozi nzuri sana hasa ukielekea kunako
Wanajua sana shughuli ya majamboz
Wana joto la kutosha
Wachapa kazi sana
Wanajua kukuweka sawa kihisia
Usipoonekana lazima akutafute mpaka akupate
Hawajawahi kuchakachuliwa na mapenzi ya kichawi
Wana maneno yenye mvuto muda wote
Akikasirika hakunyimi ila atakulipizia kwenye shughuli maana atakukimbiza mchakamchaka
Mwenzenu nime oza nimekufa kwa mademu wa kihaya