mbona hata midomo tunabinuaga....
Wanajua 'target marketing'
"Wanajua"?!...umejitoa.
sijibinuagi ndo mana...
Jamani sio mbaya tukaulizana swali hili na kupata majibu ya pamoja
Hivi kwa nini dada zetu wengi kama sio wote wanapenda kupiga picha kwa kubinua makalio yao?
Kwani wakipiga bila kuyabinuwa picha hazitoki?nijuwavyo mimi kitu muhimu kuonekana kwenye picha ni uso (sura)sasa hivyo vijambio mbona ndio mnavitanguluza zaidi?
Hii tabia jamani tuijadili hapa kwa kina nini maana ya mademu kufanya hivyo.