Nini kinafanya wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa?

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
Wanaume kutamani na kumpenda msichana ama mwanamke wenye makalio makubwa siyo ajabu, yote ni vionjo viletavyo ladha katika mapenzi. Utajifunza mapenzi uendana na wakati katika kuthaminisha kunichomvutia na kumpendeza machoni mwanaume na mwanamke.

Makalio makubwa kwa wanaume imekuwa ni kigezo kikubwa katika kuyatamani mapenzi na kupenda kuanzisha mahusiano na wanawake wenye maumbile ya hivyo.

Nini kinafanya wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa?

Hadhi kwa mwanaume
Kuonekana na mwanamke mwenye makalio makubwa na mwenye umbo zuri kwenye kiuno na linatingishika vya kutosha, popote pale unapopita naye, macho na mate uwatoka na hutamani wangekuwa wao wenye huyo mwanamke.

Hii humpandisha hadhi kuonekana ametumia akili nyingi kumuaminisha huyo mrembo, maana wanapendwa na wengi hivyo huringa mno.

Bado watu wa pembeni wanavyoona makalio huwa wanatengeneza picha akilini kuwa yaliyomo yamo, hivyo kidume husika uonekana anafaidi vingi vitamu.

Msisimko kiakili na kihisia
Wanaume wanapotizama kuanzia umbo lake la nje na kuwaza ya ndani, upata matamanio nongwa, kwakuwa makalio ni sehemu ya karibu mno na uke. Hivyo akiwa amevimba nyama, wanaume hutafakari pale kati patakuwaje na akiwa naye faragha patakuwaje.

Zile nyama za makalio huongeza ashki ya mapenzi kwa kushikwa, kuzipapasa, kuzifinya finya, kuzigusa gusa na ndiyo maana wanawake wengi hutumia vipodozi fulani ili kulainisha nyama zao ziwe laini kuzidi kumchanganya mwanaume husika, yaani makalio makubwa halafu malaini, yote kumjenga fikra mwanaume afike mapema kileleni.

Upendeza katika mavazi
Mwanamke mwenye makalio makubwa hata avae gunia lazima apendeze, hivyo wanaume wanavutiwa naye anapovaa nguo yoyote na rangi yoyote. Wanaume hupenda vitu vya kuonekana na kupendeza hivyo huona raha kuwa na mwanamke anayependeza, yaani nguo inamkaa vyema na hata akitoka nae mahali anavimba.

Burudani tosha kuwa naye
Anapotingisha mwili wake, akikatika, kumpakata na anaporinga na nyama zake au akususie lote basi akili ya mwanaume husuuzika, huwa mwepesi. Hana haja ya kuangaika na shoo za visingeli ama bendi wakati starehe anayo tayari nyumbani au anayo akiihitaji anapewa kama lote akaliona pekeake.

Uvutia kwenye mikao
Zile nyama nyama na walivyo, uzidi kumdatisha mwanaume iwe kifo cha mende au popo kanyea mbingu au kuna nazi, tena mwanaume hupenda kumpata mwenye makalio makubwa alafu ni mwepesi. Kwa wanaume wenye maumbile marefu pia husaidia katika mikao fulani kufaidi mapenzi naye bila maumivu.

Vionjo vya kimapenzi faragha
Uelezwa kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa amejaliwa uvungu mkubwa ambapo mtu uweza kuficha nyoka wake na kwa kubanwa tu mwanaume uridhika badala ya kushiriki ngono mara kwa mara ikiwa kuna kuchoka akalala usingizi mzito kwakuwa uvungu huwa na joto kali.

Kuzishika nyama pia mtu uridhika na anapokuwa kwenye tendo nyama zinavyomgusa mwanaume umfanya awehuke zaidi. Katika faragha pia huaminika mwanamke mwenye makalio makubwa huwa na maji meng ila sio foko foko ambayo humfanya mwanaume ashiriki tendo kwa muda mrefu.

Kujiamini
Wanawake wenye makalio makubwa huwa majasiri na huamini yeye ni sukari ya mwanaume, kwasababu wamekuwa wakikutana na mazingira ya kutazamwa mno na kutakwa mno, hivyo hata katika maisha ya kawaida hudumisha hulka yake ya ujasiri katika chochote anachofanya.

Mwanamke mwenye makalio makubwa anayeweza kuridhika na mtu na akajichunga na maisha yakaenda vyema, kwasasababu hawapendi kuvuliwa chupi na kuonesha ovyo utupu wao wakiamini wengi huwatamani. Mwanamme akishampata basi mwanamke hutulia nae.

Godoro
Wengine wameenda mbali kuwa mwanaume huweza kulalia makalio na usingizi ukampata vyema na wanasema huwa kuna harufu fulani nzuri isiyoisha puani kwa mwanaume ambayo huvutia na kumfanya iishi akilini mwake na kuongeza mazoea ya kumpenda kama kilevi chake.

Hivyo umbile la makalio makubwa ni kivutio katika mapenzi na siyo jambo jipya kwa wakati wetu japo limerudi machoni mwa wanaume wengi.

Changamoto wanaume wamekuwa na tamaa za kujua yaliyomo na kutoendelea kudumu nao, wanawake wengi wamekuwa wakitumiwa kama sehemu ya kujipatia ujiko, biashara na kumpa hadhi wanaume huku wanaume wengine wakidai baadhi ya wanawake waliojaliwa nyama hawajui kuzitumia vyema.

Soma pia:

1) Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

2) Ni kweli wanaume wanapenda makalio makubwa?
 
Wengi sio wanayapenda hayo makalio pekee bali wanapenda zaidi kile kilichofichwa ndani ya hayo makalio makubwa.
 
It’s about a generations,
In 50’s upto 80’s wanaume wanapenda wanawake wa design zao,

Nowdays wanaume wanapenda makalio makubwa...
 
Ni wanawake wanaongoza kunuka sehemu za siri na midomo mkuu
 
Back
Top Bottom