Mademu mbona mkipiga picha mnabinua makalio?

Kazi bado ipo!
 
Attachments

  • 1416728266749.jpg
    1416728266749.jpg
    8.4 KB · Views: 206
Jamani sio mbaya tukaulizana swali hili na kupata majibu ya pamoja.

Hivi kwa nini dada zetu wengi kama sio wote wanapenda kupiga picha kwa kubinua makalio yao?

Kwani wakipiga bila kuyabinuwa picha hazitoki?nijuwavyo mimi kitu muhimu kuonekana kwenye picha ni uso (sura)sasa hivyo vijambio mbona ndio mnavitanguluza zaidi?

Hii tabia jamani tuijadili hapa kwa kina nini maana ya mademu kufanya hivyo.
mbona hata midomo tunabinuaga....
 
99%ya mambo anayofanya mwanamke anafanya kwa ajili ya wanaume na sisi wanaume tunapenda makalio so ni lazima wabinue.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom