Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,836
Jamani sio mbaya tukaulizana swali hili na kupata majibu ya pamoja.
Hivi kwa nini dada zetu wengi kama sio wote wanapenda kupiga picha kwa kubinua makalio yao?
Kwani wakipiga bila kuyabinuwa picha hazitoki?nijuwavyo mimi kitu muhimu kuonekana kwenye picha ni uso (sura)sasa hivyo vijambio mbona ndio mnavitanguluza zaidi?
Hii tabia jamani tuijadili hapa kwa kina nini maana ya mademu kufanya hivyo.