Watanzania wengi kama wewe mna tatizo la kufanya abstract thinking
Ulitabiri haya yanayoendelea. Ulifanya nini ili uliyoyatabirivyasije yakatokea?
Je,yalipotokea(maana si leo wala jana),ukafanyaje?
-wao wanaua
-msomi umekimbia na kulalamika,
-wajinga tumekaa na kuangalia gemu.
Pole. Mdogo wako alikua muovu ndo maana.
Badala ya ufurahie kupigwa risasi,unalalamika tu. Je,wananchi wangemchoma moto si ndo ungejinyonga sasa!!