Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madee hii siyo haki

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Comi, Jun 16, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,351
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  Kuna tetesi kuwa madee alimtumia dogo janja kujinufaisha

  http://djfetty.blogspot.com/2012/06/dogo-janja-huu-ndio-ukweli-mtupu-kuhusu.html?spref=tw&m=1
   
 2. F

  Funge JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 585
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Please return to sender, the message could not be delivered
   
 3. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 3,749
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Hii mada inawahusu ma alosto, mtu mwenye akili timamu hawezi kusikiliza bongo fleva. Please return to sender.
   
 4. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 11,984
  Likes Received: 7,355
  Trophy Points: 280
  <<<delivery report>>>
  the message did not reach the required destination..please check your internet connection or try again latter
  <<<<OVER>>>>
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,043
  Likes Received: 2,143
  Trophy Points: 280
  This message is in unreadable format
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,761
  Likes Received: 1,536
  Trophy Points: 280
  Thisi message encrypted,
   
 7. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,796
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  duuuuuuuu
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,604
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Some Text missing...
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,900
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Madee ndio nani jamani?
   
 10. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,206
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  ni aina ya mijusi inayopatikana kwa wingi maeneo ya manzese.
   
 11. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,083
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 145
  atujakuelewa,jaribu tena baadae
   
 12. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Dogo Janja ambae sasa yuko kwao Arusha aliondoka alhamisi kurudi kwao baada ya kukataa kuendelea kuwa chini ya usimamizi wa Madee akidai kwamba hayakua maisha mazuri, alidhulumiwa kuteswa na hata kutokupata matunzo aliyotakiwa kuyapata.Ijumaa akiongea Exclusive kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM Janja alisema kwamba "sitaki kabisa kusoma Dar es salaam nitakwenda kusoma Arusha au mkoa mwingine wowote, alijitumia msg nyingi sana alizoandika kupitia simu yangu ili mimi nionekane mbaya, kuna nyingine aliandika producer Maneke ni snich tu, nyingine mimi nitamloga yani sikuweza kufikiria kwamba mtu mzima wa miaka 32 anaweza kumfanyia kitu kama hicho mtoto wa miaka 16&#8243;

  Akiongea kwa huzuni baada ya kuulizwa ni kiasi gani cha pesa amewahi kulipwa kutokana na mauzo ya Album yake, Dogo Janja kasema "Eeeeeeehh bro nikizungumzia swala la Album yani daaaaaaahhhhhh, nakumbuka kuna kipindi nilitaka kuliongelea nikawekwa chini nikaambiwa usiliongelee sasa sijui kama ni yule Muhindi au ni Madee, album iliuzwa kwa Muhindi na nilisaini mkataba na kupiga picha za Album ikatoka lakini ile album kiukweli hata ukinipa msaafu sasa hivi nashika, sijawahi kula shilingi tano yangu ya album mi namwachia mwenyenzi Mungu mpaka Madee aliniambia wewe ukiulizwa kwenye Radio sema ile album uliifanya kwa kumbukumbu tu hata ukija kuzeeka utakuja kuwaambia wajukuu zako nilifanyaga album ya Mtoto wa Uswazi ilikua na nyimbo tisa lakini usiitolee macho album haina hela"
  "Naapa kwa mwenyenzi Mungu kama nimekula hata shilingi kumi yake nife hata sasa hivi yani, mpaka ilifikia kipindi nikienda kufanya show Mwanza nakwenda kwa Mamu nanunua kopi zangu 20, album niliuza bure mimi nikawa nanunua kwa shilingi elfu mbili pale dukani Umoja, nikifika mikoani ndio nauza CD moja labda shilingi elfu 5 napiga sign watu wanakuja wananunua, kihalali ile Album sikunufaika nayo chochote, wamenufaika nayo watu" &#8211; Dogo Janja.
  Nitafanya tena interview na Madee soon ili kujibu alichosema Dogo Janja.

  Millard Ayo
   
 13. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,604
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Angalau Nyundo Kavu umeeleweka.
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 24,481
  Likes Received: 3,433
  Trophy Points: 280
  Dahhh....
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,407
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Duuu hatareeeeee kekundu kekunduuu wajinga ndio waliwaooo,wajinga ndio waliwaoo kulitokea dogo moja toka Atown niiii dogo toka atown alifikia dsm kwa madeee hili afanye nae muziki walifanikiwa sana mpaka wakatoa album lkn dogo akufaidika hata chembe mwisho alirudishwa kwao na bank acc ina sh elfu 25 tuuu kekundu kekunduu!!! Kekunduuuu! Wajinga ndio waliwaooooo!
   
 16. angedizzle

  angedizzle JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  loading............
   
Loading...