Made in Mwadui, Shinyanga

Made in Mwadui, Shinyanga

That why naupenda mkoa wangu! ila serikali bado inatunyonya sana! ipo siku moja tu watu wa shy tutabandilika kabsa wema wetu.
maana kama kutenda wema tumechoka.
yaan serikali inakuja kuchota dhahabu na alimasi bila hata kuwategenezea mioudobinu wanainchi . hata umeme mkoa wa shy ni tatizo.!
 
Last edited by a moderator:

ni kweli mkuu...
 
Uongo mwingine ni wakijinga kabisa.

Hiyo ni Versace gold plated AK47

Eti "made in Mwadui Shinyanga"!

Kama hamna vya kufanya si mkacheze mdako.
 
Uongo mwingine ni wakijinga kabisa.

Hiy Versace gold plated AK47

Mara nyingi mtu akiwa kikogwe akili muhupotea kwa asilimia kubwa sana, hata mimi sikushai. hivi kwanini mtoa mada amesema mwadui shinyanga na asiseme kahama au unyakulu shinyanga amejua wazi kabsa hiyo machine imetegenezwa na maligafi kama za mwadui au za mwadui.
 
bibi bomba unazeeka vibaya sasa
 
Mara nyingi mtu akiwa kikogwe akili muhupotea kwa asilimia kubwa sana, hata mimi sikushai. hivi kwanini mtoa mada amesema mwadui shinyanga na asiseme kahama au unyakulu shinyanga amejua wazi kabsa hiyo machine imetegenezwa na maligafi kama za mwadui au za mwadui.

Mwadui kuna dhahabu?

Punguani wahed.
 
Uongo mwingine ni wakijinga kabisa.

Hiyo ni Versace gold plated AK47

Eti "made in Mwadui Shinyanga"!

Kama hamna vya kufanya si mkacheze mdako.

hili jukwaa ni stress free kanye uharo wako lumumba huko

na huu mwaka ndio mwisho wenu kudadadeki!!

kwani ni uongo?
madini ya Tanzania si ndio yanajenga ulaya alafu mnamtuma rais kwenda kuomba hukohuko???
geita imejaa vumbi hamna hata maji
 
Marire mdogomdogo...!!!!
 
Last edited by a moderator:
hili jukwaa ni stress free kanye uharo wako lumumba huko

na huu mwaka ndio mwisho wenu kudadadeki!!

kwani ni uongo?
madini ya Tanzania si ndio yanajenga ulaya alafu mnamtuma rais kwenda kuomba hukohuko???
geita imejaa vumbi hamna hata maji

Wewe hata useme nini, hayo madini yako kwanini hujengi wewe kama una akili sana?

Utabaki kulalamika tu, uchumi mnao lakini mnaukalia.

Stress free ndiyo maana'ke mlete uongo?

Wacha wee....! FF vingine vichukulie easy tuu
 
Wewe hata useme nini, hayo madini yako kwanini hujengi wewe kama una akili sana?

Utabaki kulalamika tu, uchumi mnao lakini mnaukalia.

Stress free ndiyo maana'ke mlete uongo?

Punguani wahed.

sikurudishii tusi maana hukawii kujitoa muhanga
ijumaa njema kizee wa jf
 
Back
Top Bottom