Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Hapo mwazo madawa ya kulevya tanzania yalikuwa yanatoka ktk nchi za Asia hasa pakstani, na kiasi kidogo kutoka nchi za amerika kusini peru na colombia na njia ilikuwa kupitia West Africa kwa wanao toa Amerika kusini then Tanzania.wasafirishaji wakubwa walikuwa wanatoa Tanzania kupeleka Africa kusini na ulaya.sasa leo tunasikia eti msanii kabeba madawa kutoka Sauz kuleta Tz.kuna ukweli hapo au ni kuchafuana tu na kutokujua ukweli?