Msumbiji Inasema " Wasafirishaji Wengi wa Madawa ya Kulevya Wanatoka Tanzania, Ethiopia na Brazil"

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Mamlaka zifuatilie haya madai ya Msumbiji kwamba Wasafirishaji Wengi na wakubwa wa Madawa ya Kulevya iliowatia nguvuni wanatokea Tanzania hasa Jiji la Dar isije kuwa wanaichafua Nchi yetu Kwa sababu wanazozijua wao.

Hizi sio habari nzuri Kwa Nchi yetu na hapa tuna maswali ya kujiuliza,Kwa nini iwe Tanzania?
 
Mhhh
 
Si wana data, ina maana hao watu wapo magerezani
 
Mamlaka zifuatilie haya madai ya Msumbiji kwamba Wasafirishaji Wengi na wakubwa wa Madawa ya Kulevya iliowatia nguvuni wanatokea Tanzania hasa Jiji la Dar isije kuwa wanaichafua Nchi yetu Kwa sababu wanazozijua wao.

Hizi sio habari nzuri Kwa Nchi yetu na hapa tuna maswali ya kujiuliza,Kwa nini iwe Tanzania?
Kwani uongo?
 
Back
Top Bottom