Madawa ya kulevya TZ

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
69
Hapo mwazo madawa ya kulevya tanzania yalikuwa yanatoka ktk nchi za Asia hasa pakstani, na kiasi kidogo kutoka nchi za amerika kusini peru na colombia na njia ilikuwa kupitia West Africa kwa wanao toa Amerika kusini then Tanzania.wasafirishaji wakubwa walikuwa wanatoa Tanzania kupeleka Africa kusini na ulaya.sasa leo tunasikia eti msanii kabeba madawa kutoka Sauz kuleta Tz.kuna ukweli hapo au ni kuchafuana tu na kutokujua ukweli?
 
Mkuu,katika hii biashara lolote linawezekana.
 
East Africa has also become a key entry area for southwest Asian heroin destined for markets in East and South Africa. These areas are supplied by East and West African trafficking organizations as well as southwest Asian criminal groups operating out of India and Pakistan and, more recently, Afghanistan. These organizations rely to a large extent on commercial air, using both human couriers as well as air freight to conceal heroin consignments.
SOURCE
Heroin / Drugs / Crime areas / Internet / Home - INTERPOL
rest in peace mangwear...tumwache apumzike jembe
 
Vijana wa kitanzania wanaoshinda kwenye misafara ya shambani kila kukicha South Africa, Pakistan, India, Afghanistan, Nigeria, Turkey, Italy, Greece, na sehemu zingine tata basi hao ni wazungu wa unga. Wengi wao wanakwenda kubamiza unga huko wakifanikiwa wanakuja na magari kuuza kwenye show room na kujipatia pesa zao huku wengine wakisingizia wana biashara za kusafirisha mizigo n.k. ili tu kuwalostisha watu. Kwa kiasi kikubwa hapa kwetu serikali pia inachangia ili janga kwani hawa watu ni rahisi kuwapata maana biashara hiyo iko rampant kwa muda mrefu sasa na hao watu wanajulikana.
 
Na hii biashara sidhani kama itakuja siku ikomeshwe na kupotea kabisa kwenye ulimwengu huu
 
Hapo mwazo madawa ya kulevya tanzania yalikuwa yanatoka ktk nchi za Asia hasa pakstani, na kiasi kidogo kutoka nchi za amerika kusini peru na colombia na njia ilikuwa kupitia West Africa kwa wanao toa Amerika kusini then Tanzania.wasafirishaji wakubwa walikuwa wanatoa Tanzania kupeleka Africa kusini na ulaya.sasa leo tunasikia eti msanii kabeba madawa kutoka Sauz kuleta Tz.kuna ukweli hapo au ni kuchafuana tu na kutokujua ukweli?

Madawa ya kulevya hayana route maalum mkuu kwamba eti lazma yatoke sehem fulani yaende sehem fulani, yanaweza kutoka popote na kwenda popote kwa kutegemea urahisi wa kuyapitisha.
 
Mmetumwa kumsafsha dogo sio kawalipa shilingi ngapi...South Afrca ndio lango kuu kwa sasa la kuingza madawa TZ ...mwsho wao umekarbia wataumbuliwa soon
 
Wote naona Kama mnapiga kelele zisizo na maana/msingi......Bora mtu ukae kimya kama hujui unachokiongea au kuandika.
Ni sawa na ule msemo"Maskini siku zote huwa mwenye maneno mengi sana kuliko Tajiri"
Naamanisha kutokujua hii biashara inafanyikaje nafananisha na Umaskini,,Ila kuna watu wanaelewa hizi kitu zinakwendaje na katu hutawakuta wameweka post ama Comment humu.IAM JUST SAYING
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom