Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa! | Page 70 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Jul 11, 2013.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2013
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 958
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  masogange-mbwembwe.png Hatuwezi kuendelea kukaa kimya. Taifa letu linaaibika vibaya sana.

  Wahusika wanajulikana. Wametajwa mara nyingi na mbinu wanazozifanya kwa kutumia wasanii wa kizazi kipya na waigizaji almaarufu kama 'Bongo Movie'.  Inaudhi, inakera na inatuongezea chuki sana kwa serikali iliyo madarakani. Kaeni kimya na endeleeni kulichafua taifa, kuna siku mtatueleza yote. Au kwakuwa wahusika ni wanenu? Au kwakuwa wakuu wa juu ni wale waliowawezesha kuingia madarakani kisiasa?

  Ndugu zangu, hii ni aibu kubwa kwa Taifa. Inasikitisha sana na inazidi kutuaibisha wengine tunaosafiri ng'ambo. Taifa kama halina rais, taifa kama halina Vyombo vya Dola. Ni upumbavu, ni ufedhuli na mtambue sasa tumechoka. Sasa, tunaanza kuziweka habari za kila anayekamatwa na madawa hadharani, tunaanza kuweka hadi wanaowatuma. Tutawafikia mapapa wote!

  Mambo haya mlimchomekea mtoto wa Mengi, mambo haya mnawachomekea wanyonge wenye njaa kali na hadi mmeua vijana wetu kwa kuwabebesha mizigo michafu hivi!

  Kwa ambao hamjasoma habari hii ya aibu, someni hapa:

  Someni zaidi hapa Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa


  USHAURI KWA VIJANA WA KITANZANIA:
  *************************************

  Habari zaidi ndani ya JF:

  *************************************
  - CHADEMA yatoa tamko baada ya Mbowe kutajwa katika listi ya Makonda

  - Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
  - News Alert: - Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee
  - Mbunge wa Kinondoni umefeli kupambana na Madawa ya kulevya!
  - Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa
  - MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na waandishi wa habari

  - Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi
  - DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii
  - Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

  - Biashara ya Madawa ya Kulevya Tanzania: Who is Pulling the Strings? [September, 2010]
  - Madawa ya Kulevya Tanzania, Serikali Yetu Hamyaoni Yanatumaliza? [March, 2011]
  - Madawa ya kulevya: Rais Kikwete akutana na mawaziri, wakuu wa mahakama na polisi [2013]
  - Kuficha watuhumiwa wa madawa ya kulevya... Wananchi, tufanye nini? [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya - Aina na Athari zake kwa Mtumiaji [February, 2012]

  - Dawa za kulevya: Watanzania watatu wakamatwa India, mmoja afariki
  - Mafia wa Italia na mihadarati Tanzania [December, 2012]
  - Mihadarati (Madawa ya Kulevya) yaivuruga CCM! [November, 2006]
  - Wajumbe Baraza la Wawakilishi Zanzibar watuhumiana kuhusika na Mihadarati (Madawa ya Kulevya) [June, 2011]

  - Serikali kuanika vigogo wa Madawa ya Kulevya bungeni [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha...
  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya Chicago, U.S.A.

  - Mtanzania akutwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa Marekani-Texas tumboni kwake
  - Rais Obama amtaja mfanyabiashara wa madawa ya kulevya mwanamke wa kitanzania aishie Mbezi
  - Polisi wamnasa muuza dawa za kulevya wa kimataifa aitwaye Leila...
  - Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

  - Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
  - Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!
  - Kangi Lugola, mbunge CCM atuhumu Mawaziri ni wauza mihadarati! Serikali yawatetea, awekwa kitanzini!
  - Mtandao wa uhalifu Polisi... Wahusishwa na mauaji, biashara ya mihadarati na ulaji rushwa!

  - Mfanyabiashara jamaa ya Mbunge akamatwa na Shehena ya Madawa ya Kulevya
  - Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!
  - Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Bil 9 Tsh

  - Wapakistan waliokamatwa na madawa ya kulevya ya billion 6 waachiwa kwa dhamana!
  - Picha: Msichana wa KITANZANIA aliyekamatwa na Unga EGYPT kunyongwa...
  - Madawa ya Kulevya: Mabondia wa Tanzania wafungwa miaka 15 nchini Mauritius!

  - Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa
  - Watanzania wawili wakamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong
  - Binti ashikwa na Madawa ya Kulevya JNIA; Polisi wa usalama waomba Rushwa wakataliwa...
  - Mtanzania afungwa jela miaka 15 Zimbabwe kwa kukutwa na madawa ya kulevya

  - Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!
  - Kilumbe Ng'enda: Mbunge Azzan Anahusika na Biashara ya Dawa za Kulevya

  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya US
  - Mapapa wa madawa ya kulevya watajwa, wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz
  - Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

  - Mtambo wa Dawa za kulevya waingizwa nchini, upo Mbezi Beach!
  - Serikali sasa kuanzisha mahakama ya madawa ya kulevya...!!
  - Madawa ya Kulevya: Mashine mpya zafungwa JKIA
  - Bungeni Live: Hoja juu ya Madawa ya Kulevya
  - CHADEMA watoa tamko kuhusu madawa ya kulevya
  - Vita dhidi ya madawa ya kulevya: Waziri akiri wauza unga kuifadhili CCM, Nzowa aizamisha Jambo leo
  - Sakata la madawa ya kulevya: Kamanda wa polisi viwanja vya ndege ahamishwa
  - Sakata la madawa ya kulevya: Viongozi wachunguzwa na kuhojiwa
  - Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib
  - Mtanzania adakwa na mihadarati China
  - Mtanzania akamatwa akiwa na Madawa ya Kulevya United Arab Emirates (UAE)

  - Mshambuliaji wa zamani wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya...
  - Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain
  - Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!

  - Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya Dubai amlaumu mumewe
  - Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!
  - Ripoti UN: Tanzania kinara dawa za kulevya
  - Uchochoro wa kuvusha dawa za kulevya Dar huu hapa
  - Baadhi ya njia zinazotumika kupitisha madawa ya kulevya uwanja wa ndege JKNIA
  - Madawa ya kulevya: Mtanzania afia Dubai, wengine wadaiwa kukamatwa China na Brazil
  - Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) naye akamatwa Brazil
  - Mwanajeshi Rashid Mohamed akamatwa na mirungi kilo 20 huko Tanga
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #1381
  Feb 28, 2017
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,710
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  "..nipoambiwa hii nchi inaitwa Bongo nikadhani watu watakuwa wanatumia sana ubongo kumbe hakuna kitu..." by Ben Mkapa.
  Watanzania kuanzia viongozi hadi mwanakijiji wa hapa Ng'washilalage wote bila kujali ni Professor, Dr au nani upeo wetu wa kufikiri in mdogo! Ndio maana Steve Nyerere anaweza kuwa na ushawishi mkubwa hadi kwa Mawaziri.
  Muuza unga anawaza jina lake liimbwe kwenye muziki wa bendi huku ajuhi kutakasisha biashara yake!
   
 3. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #1382
  Feb 28, 2017
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,905
  Likes Received: 13,317
  Trophy Points: 280
  Hebu tutajue wale waliotajwa na Daudi bashite ni nani anayefanya biashara ya madawa ya kulevya?
   
 4. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #1383
  Feb 28, 2017
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,905
  Likes Received: 13,317
  Trophy Points: 280
  Una kifaduro wewe
   
 5. l

  login-logout Senior Member

  #1384
  Feb 28, 2017
  Joined: Feb 11, 2017
  Messages: 132
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Mudawote nakupenda unaweza ukawa mke wangu wa pembeni kama hutojali
   
 6. myoyambendi

  myoyambendi JF-Expert Member

  #1385
  Feb 28, 2017
  Joined: Sep 13, 2013
  Messages: 48,021
  Likes Received: 242,693
  Trophy Points: 280
  haya tupe habari mjuzi wa mitandao hii..
   
 7. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #1386
  Feb 28, 2017
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 12,354
  Likes Received: 8,785
  Trophy Points: 280
  Kama wewe yawezekana hata hiyo zero hukupata. Muuza madawa gani sasa katajwa kwa akili yako?
   
 8. M

  Miss Madeko JF-Expert Member

  #1387
  Feb 28, 2017
  Joined: Apr 30, 2014
  Messages: 1,978
  Likes Received: 1,798
  Trophy Points: 280
  Mwenye kutoa thread nawewe ni kilaza kama Daudi Bashite sema wewe hujui kujipendeza ili upewe vyeo, kuanzia kufunga kamba za viatu na kwenda kupalilia bustani za wakuu enzi hizo Late S.S (RIP)
  Ungekuwa hai ungemwona shamba boy wako anavyodhalilika haswa ya heri angeendelea kubeba na kufunga viatu vya Ridhiwani na kuwa shamba boy hiyo ndio halali ya kwa elimuu yake
   
 9. BansenBurner

  BansenBurner JF-Expert Member

  #1388
  Feb 28, 2017
  Joined: Feb 16, 2015
  Messages: 6,854
  Likes Received: 4,372
  Trophy Points: 280
  Makonda ndio nani huyo si tunamjua Bashite
   
 10. screpa

  screpa JF-Expert Member

  #1389
  Feb 28, 2017
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 6,437
  Likes Received: 8,360
  Trophy Points: 280
  Naona vijakazi wa bwana Daudi Bashite mko kazini kumsafisha mume wenu, ila safari hii hachomoki
   
 11. O

  OIL CHAFU JF-Expert Member

  #1390
  Feb 28, 2017
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 741
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Nakuhurumia hata hujui unachoandika. Hivi kwa akili yako Mbowe na Gwajima ndo wahusika wa dawa za kulevya? Mwogopeni Mungu sometimes. Kuna majina hayawezi kutajwa, na yakitajwa ni anguko la nchi. Believe me.
   
 12. Mudawote

  Mudawote JF-Expert Member

  #1391
  Feb 28, 2017
  Joined: Jul 10, 2013
  Messages: 5,522
  Likes Received: 4,042
  Trophy Points: 280
  Wanahusika hao, mbona wanajishuku?
   
 13. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #1392
  Feb 28, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,229
  Likes Received: 5,992
  Trophy Points: 280
  Michaggadema ni migwiji ya unafiki
   
 14. Mgoroko

  Mgoroko JF-Expert Member

  #1393
  Mar 1, 2017
  Joined: Mar 12, 2014
  Messages: 476
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Habari,kutokana na vita hii takatifu inayo endelea nchini nadhani baraza la sanaa lina haja kuufungia na kuupiga marufuku mwimbo wa mwanamziki na mwanachama wa chadema Ney wa mitego(Zamu yetu),ni nyimbo inayo hamasisha matumizi ya madawa ya kulevya,ukiendelea kusikika kwenye jamii utahamasisha vijana waendelee kutumia madawa ya kulevya.
   
 15. M

  Mlanga JF-Expert Member

  #1394
  Mar 6, 2017
  Joined: Jun 7, 2014
  Messages: 1,025
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Akili yako ni finyu ,kiwango chako chini ya like cha Daudi Bashite.HUYO unayemfia na kumtetea kwa nguvu zako zote keshauona moto. Sasa analia hivyo ,we bado hujazinduka.
   
 16. Rais2020

  Rais2020 JF-Expert Member

  #1395
  Mar 7, 2017
  Joined: Jul 14, 2016
  Messages: 3,297
  Likes Received: 5,445
  Trophy Points: 280
  Juma Pinto na Kinjekitile Mwiru ni watu waliogharimu maisha ya vijana wengi kutokana na biashara zao za Mihadarati. Kinjekitile Mwiru siyo jina geni kutajwa katika biashara ya mihadarati. Ni aibu kubwa sana na fedheha kwa Rais kwa kitendo cha Paul Makonda kukimbilia South Africa tena na kupokelewa na DON mkubwa wa MADAWA ya kulevya ndugu Kinjekitile Mwiru.

  Sasa kutokana na uhusiano huu kuna uwezekano mkubwa sana kuwa vita ya MADAWA ya kulevya iliyotangazwa na Rais Magufuli na kuendelezwa na Paul Makonda kwa upande wa Paul makonda inaonekana hapa aliamua kushupalia swala la MADAWA ya kulevya ili kuwadidimiza kibiashara washindani wakuu wa biashara ya mihadarati wa Kinjekitile Mwiru na kumpa kinga ili asifikwe na Mkono wa sheria.

  Ushauri: Ninaomba serikali Kali kabisa ya mhe. Magufuli iweze kuchunguza kwa undani sana washirika wakuu wa Paul Makonda ambao wanatajwa kujihusisha na biashara ya mihadarati wakiwemo GSM. Sambamba na hilo swala la Kughushi cheti lipewe kipaumbele ili mkondo wa sheria uchukue nafasi yake. Naimani serikali sikivu ya Mhe.Magufuli itafanya na inaendelea kufanya ili kuweka mambo sawa.

  NB: Mhe. Rais una nia nzuri na watanzania ila ulikosea kuwachagua kimkakati zaid(ili kuua upinzani bila vetting).
   
 17. Wecer

  Wecer Member

  #1396
  Mar 7, 2017
  Joined: Feb 3, 2017
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  DAWA SAFI YA DAWA ZA KULEVYA NI RISASI AU VIFO VYA KUTENGENEZWA TU HII DEMOCRASIA SIJUI HAKI ZA BINADAMU INAGHARAMA KUBWA. HONGERA SANA RAIS WA PHILIPINES HAYA MENGINE TUTAPUNGUZA TU.NA HII DAWA SIO LAZIMA ITANGAZWE IWE SHERIA ILA WANAMALIZWA PIA WAKIJUMUISHWA MASHOGA WOTE
   
 18. Wecer

  Wecer Member

  #1397
  Mar 7, 2017
  Joined: Feb 3, 2017
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  MTU ANAWEZA KUSEMA HUYU MBONA ANASEMA RISASI,UNAJUA WAO HUTUMIA MBINU ZOTE KUMALIZA MTU ANAEWAHARIBIA BIASHARA ZAO HATA KWA KUUA,WEWE UPANDE MWINGINE UNAMKAMATA MTU NA UNGA ETI UNAMPELEKA POLISI ANAKUMBANA NA WALE WASHIRIKA walijificha kule wanabadili kuwa ungawa muhogo na hata kwa mkemia jibu linakuwa hilo kesi haipo wapo huru....huu si upumbavu huo???kuna nchi haya madwa hayatagusa kama Rwanda.
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1398
  Mar 8, 2017
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,525
  Likes Received: 1,552
  Trophy Points: 280
  Bora wewe umenena ukweli,bashite alitumwa afanye usanii the expense ya kudharirisha hata waliomteua
   
 20. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1399
  Mar 8, 2017
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,525
  Likes Received: 1,552
  Trophy Points: 280
  Kwasasa tuache maneno, mwwnye mamlaka awakamate wahusika. Bashite alikuwa anafanya usanii
   
 21. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #1400
  Mar 10, 2017
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,443
  Likes Received: 3,693
  Trophy Points: 280
  bashite aliingia kichwa kichwa kwenye hili suala sasa yeye ndio amekimbia nchi huku michozi inamtoka
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...