Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Hawa raia hawajaitwa hata mmoja kuhojiwa?

Chege, Juma nature, Temba na wengineo..n kweli hawatumiagi hizo mboga? Hawajawahi sokota bangi?

Mbona wana promo na style nyingi sana za kuonesha kwamba ni watumiaji?
hawajakosana na sizonje au kondakta wake
 
Hivi yule punda mbebaji ilikuwa na haja gani ya kumpima kama anatumia na dhamana wakampa angali anajulikana kabisa ni mbebaji na mtumiaje iweje wamuachie kwa kutumia angali aliwahi kukamatwa bondeni kwa kesi ya MADAWA
 
Umeambiwa ile ni ngoma ya kiongozi , unataka nini tena ?
 
Kwanza nikili kwamba watanzania ni watu wazuri sana wa kusahau mambo na kibadilika mara kwa mara na kamwe si watu wa kuaminika. Tunapenda sana kusikia mtu akiharibikiwa zaidi ya kufanikiwa, hili linawakumba hadi viongozi wetu na raia kwa ujumla.

Pili nigusie kidogo hii vita ya dawa za kulevya.

Watu wa dawa za kulevya ni watu wenye hela nyingi na hela zao zina matokeo makubwa sana kwenye jamii iwe matokeo hasi ama chanya.

Ukipambana na hii vita ukiwa umeegemea upande wa matokeo hasi unaweza ukashindwa vibaya.
Hivyo inabidi pia kuangalia matokeo chanya. Ushauri wangu hapa kwa sasa serikali ipambane kubinya mianya ya hawa wauza unga, Wawatambue na wawafanyie monitoring kwa technichues hasa hawa wakumbwa.
Nasema hivyo kwa sababu wameshajipenyeza kwenye jamii na ukiwatoa tu wanawatetezi kibao.

Bahati mbaya wafuasi wao wengi ni watu walio na access na mitandao ya kijamii hivyo inakuwa rahisi kuibua jambo na kulijadili kwa mapana kuliko serikali.
Watu wanao nufaika na mapapa wa unga hawawezi kuelewa madhara yake kiurahisi, serikali na watu walio haribiwa familia zao na wapendwa wao ndio wanao jua mzigo wa dawa za kulevya.

Bahati mbaya serikali haina hata mbinu ya kuwashawishi wasio elewa vizuri madhara yake, hapa naisshauri inanzishe vipindi maalumu kwenye luninga na redio ili watu wajue jinsi gani serikali inabeba mzigo huu, jinsi gani familia zinateseka.

Tatu nichangie pia kwenye cheti cha makonda.
Kwa sasa vita ya dawa za kulevya zinafifia kwa kasi kuliko ilivyo kwenye cheti cha makondo, ikumbukwe hata zamani vita hii ilikuwepo na badae ikaendelea tena kama ikiachwa itashamili na badae wauza unga ndio watakao amua rais awe nani, naona hili kuanzia 2025.

Kuna watu wanashikilia kwenye cheti cha makonda kwa sababu wako makundi mbalimbali walio wahi kuasiliwa na utawala wa Makonda. Kunawatu walio walioasiliwa ndani ya chama, ndani ya serikali na madawa ya kulevya na wanaona hapahapa ndipo watakapo mpata huyu Bashite.

Na hili ni jaribu kubwa kwa Magufuli, akimuacha atakuwa amewapuuzi baadhi ya watu, na akimutumbua itabidi avute pumuzi za kuendelea na uongozi na hata ndani ya chama chake itakuwa mwiba pia.

Angalizo jingine pia ni kwamba Makonda ni mtu mwenye uthubutu mkubwa, Magufuli akimtumbua halafu chadema wakamchukua ni janga jingine kwakwe tena kubwa.
Kama chadema wanauwezo wa kumtumia Wema itakuweje Makonda?
Makonda anaweza kutumiwa na wapinzani vizuri sana na hatimae kuiangusha CCM.

Wito.
Watz tuwe na tabia ya kushika mambo ya msingi kwa mda.
Kwa mjibu wa cheti cha makonda na dawa za kulevya.
Nashauri kwanza tumalize la dawa huku tukimvizia Bashite maana ni mtu mmoja namdogo sana kuliko tunavyo zani ila kwa sababu tunataka kumpa adabu basi wengine tunaweza kuendela nae.
 
Mods nisaidie kubadili kichwa sa somo kisome hivi.

Dawa za kulenya dhidi ya cheti cha Makonda
 
Ulikurupuka kuanzisha uzi au?
Nikirudi kwenye uzi wako Elewa VITA ya dawa ya kulevya kwa sasa iko chini ya kamishna SIANGA maana ni mtu mwenye uzoefu na weledi hali ya juu ktk mambo hayo

Ova
 
Wewe hujui tu jinsi hii kitu ilivyo na impat kubwa. Ila pia soma uelewe vizuri
 
Swala ngada....nalijua/athari zake nalijua kuliko wewe hadi huyo aliyekuwa ana wataja wauzaji!
Bierzo muita muuzaji aende mwenyewe polisi we hjui kama kitendo hicho yule unaye mtuhumu anaweza ondoaa ushahidi au wengine kukimbia.....nchi kama walivyofanya wengine....
Hakuna anaye tetea wauza madawa....
Sahv kamishna SIANGA Kapewa rungu na SIANGA ni nzowa type...

Ova
 
Kwanza nikili kwamba watanzania ni watu wazuri sana wa kusahau mambo na kibadilika mara kwa mara na kamwe si watu wa kuaminika. Tunapenda sana kusikia mtu akiharibikiwa zaidi ya kufanikiwa, hili linawakumba hadi viongozi wetu na rais kwa ujumla.

Pili nigusie kidogo hii vita ya dawa za kulevya.

Watu wa dawa za kulevya ni watu wenye hela nyingi na hela zao zina matokeo makubwa sana kwenye jamii iwe matokeo hasi ama chanya.

Ukipambana na hii vita ukiwa umeegemea upande wa matokeo hasi unaweza ukashindwa vibaya.
Hivyo inabidi pia kuangalia matokeo chanya. Ushauri wangu hapa kwa sasa serikali ipambane kubinya mianya ya hawa wauza unga, Wawatambue na wawafanyie monitoring kwa technichues hasa hawa wakumbwa.
Nasema hivyo kwa sababu wameshajipenyeza kwenye jamii na ukiwatoa tu wanawatetezi kibao.

Bahati mbaya wafuasi wao wengi ni watu walio na access na mitandao ya kijamii hivyo inakuwa rahisi kuibua jambo na kulijadili kwa mapana kuliko serikali.
Watu wanao nufaika na mapapa wa unga hawawezi kuelewa madhara yake kiurahisi, serikali na watu walio haribiwa familia zao na wapendwa wao ndio wanao jua mzigo wa dawa za kulevya.

Bahati mbaya serikali haina hata mbinu ya kuwashawishi wasio elewa vizuri madhara yake, hapa naisshauri inanzishe vipindi maalumu kwenye luninga na redio ili watu wajue jinsi gani serikali inabeba mzigo huu, jinsi gani familia zinateseka.

Tatu nichangie pia kwenye cheti cha makonda.
Kwa sasa vita ya dawa za kulevya zinafifia kwa kasi kuliko ilivyo kwenye cheti cha makondo, ikumbukwe hata zamani vita hii ilikuwepo na badae ikaendelea tena kama ikiachwa itashamili na badae wauza unga ndio watakao amua rais awe nani, naona hili kuanzia 2025.

Kuna watu wanashikilia kwenye cheti cha makonda kwa sababu wako makundi mbalimbali walio wahi kuasiliwa na utawala wa Makonda. Kunawatu walio walioasiliwa ndani ya chama, ndani ya serikali na madawa ya kulevya na wanaona hapahapa ndipo watakapo mpata huyu Bashite.

Na hili ni jaribu kubwa kwa Magufuli, akimuacha atakuwa amewapuuzi baadhi ya watu, na akimutumbua itabidi avute pumuzi za kuendelea na uongozi na hata ndani ya chama chake itakuwa mwiba pia.

Angalizo jingine pia ni kwamba Makonda ni mtu mwenye uthubutu mkubwa, Magufuli akimtumbua halafu chadema wakamchukua ni janga jingine kwakwe tena kubwa.
Kama chadema wanauwezo wa kumtumia Wema itakuweje Makonda?
Makonda anaweza kutumiwa na wapinzani vizuri sana na hatimae kuiangusha CCM.

Wito.
Watz tuwe na tabia ya kushika mambo ya msingi kwa mda.
Kwa mjibu wa cheti cha makonda na dawa za kulevya.
Nashauri kwanza tumalize la dawa huku tukimvizia Bashite maana ni mtu mmoja namdogo sana kuliko tunavyo zani ila kwa sababu tunataka kumpa adabu basi wengine tunaweza kuendela nae.

Hili si jaribu hata kidogo kwa Rais wetu JPM, ameshawahi kukabiliana na makubwa kuliko hili.

Katika Mawaziri wote, manaibu mawaziri wote, maRC zaidi ya 20 na watendaji wengine kibao we umeona Makonda '' akitumbuliwa atamfanya JPM avute pumzi'' !!??

Chadema hawatamchukua Mako hata kwa DAWA

Usijidanganye Makonda akiondoka CCM haitaanguka.

Makonda aondoke tu shughuli za madawa si zimeshapata mwenyewe wa uhakika Mzee Sianga??
 
Great Thinkers!

Sasa nimeamini kuwa watanzania tunaendeshwa na mihemuko.
Enzi fulani tuliambiwa, eti mafisadi papa wakiguswa nchi haikaliki.

Baadaye zikaja propaganda eti wauza madawa ya kulevya ni vigogo, wakitajwa nchi itayumba, sasa cha ajabu, kijana mdogo, kijana mwerevu Makonda kawataja, na wengine bado wanahangaika na kesi ila nchi ipo shwari kabia.

Kwa uhakika mtandao wa wauza madawa ya kulevya Tanzania ni dhaifu mno! Maana mpaka sasa wameparanganyika ile mbaya!
 
Yangetajwa na yale ya awamu ya mwisho kwenye file alilokabidhiwa Kamishna, mtazamo wako ungeweza kuwa sawa!
 
"..nipoambiwa hii nchi inaitwa Bongo nikadhani watu watakuwa wanatumia sana ubongo kumbe hakuna kitu..." by Ben Mkapa.
Watanzania kuanzia viongozi hadi mwanakijiji wa hapa Ng'washilalage wote bila kujali ni Professor, Dr au nani upeo wetu wa kufikiri in mdogo! Ndio maana Steve Nyerere anaweza kuwa na ushawishi mkubwa hadi kwa Mawaziri.
Muuza unga anawaza jina lake liimbwe kwenye muziki wa bendi huku ajuhi kutakasisha biashara yake!
 
Great Thinkers!

Sasa nimeamini kuwa watanzania tunaendeshwa na mihemuko.
Enzi fulani tuliambiwa, eti mafisadi papa wakiguswa nchi haikaliki.

Baadaye zikaja propaganda eti wauza madawa ya kulevya ni vigogo, wakitajwa nchi itayumba, sasa cha ajabu, kijana mdogo, kijana mwerevu Makonda kawataja, na wengine bado wanahangaika na kesi ila nchi ipo shwari kabia.

Kwa uhakika mtandao wa wauza madawa ya kulevya Tanzania ni dhaifu mno! Maana mpaka sasa wameparanganyika ile mbaya!
haya tupe habari mjuzi wa mitandao hii..
 
Kama wewe yawezekana hata hiyo zero hukupata. Muuza madawa gani sasa katajwa kwa akili yako?
 
Back
Top Bottom