mkulungu mkuyengo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 786
- 564
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unga anaotumia chid benz anaupata wapiUmeandika maelezo mengi na hasa ukijikita kwenye kulaumu huku ukionesha hakuna lililofanyika au lililofanyika ni dogo
Ajabu umeshindwa hata kuwataja hao nyangumi iwapo kweli unawajua na angalau kuweka maelezo yao kwa kuanzia. Kwanini tuamini maelezo yako? Nadhani ingependeza ungekuja na uzi unaoonesha ushiriki wa hao unaowahita nyangumi na jinsi ambavyo wameachwa bila kuguswa.
Vinginevyo itaonekana ni majungu ya kutofurahishwa na kazi inayofanyika.
hahaaaa..jii vita ni ya aina yake..Vita ya Madawa ya kulevya Tanzania imeweka record moja matata maana ni vita vya muda mfupi sana na watu wa madawa wamewini... Mashamba ya Bangi yamechomwa sana ila bangi itaendelea tu...
Huko Philippines raisi Durerte hawamtaki tena kashindwa kumuua mwanae Maandamano na fujo kwa wafiwa hali ya inchi yao imekuwa tete.. na waasi wamechamamaa.
Hivi yule James Sianga yupo wapi vile? hivi ni bangi tu pekee ndio inachimwa hadharani tena mbichi lakini heroin mandrax n.k inachomwa mafichoni?
na kwa hali hii unadhani hii biashara itakoma?Sembe bado lipo mtaani la kutosha ..sembe lina hela ambayo ni tamu ndomana kuwakamata wahusika wakuu(madon) ni kazi sababu muuza sembe kutoa hela huwa hajiulizi mara mbili kikubwa tu usalama wa mzigo wake kama mtu anakupa hela ambayo hata uue uko wako wote huwezi ipata atashindwaje kupokea.
kawaida mkuu..jf inanilindaaggyjay hili ni jina la kike je wewe ni mwanamke au ni jina tu? kama ni mwanamke niseme tu hongera kwa kuwa na akili kubwa Mungu akubariki.
unaposoma shirikisha ubongo wako..nimeaema ukiwaexpose wanaku......Umeandika maelezo mengi na hasa ukijikita kwenye kulaumu huku ukionesha hakuna lililofanyika au lililofanyika ni dogo
Ajabu umeshindwa hata kuwataja hao nyangumi iwapo kweli unawajua na angalau kuweka maelezo yao kwa kuanzia. Kwanini tuamini maelezo yako? Nadhani ingependeza ungekuja na uzi unaoonesha ushiriki wa hao unaowahita nyangumi na jinsi ambavyo wameachwa bila kuguswa.
Vinginevyo itaonekana ni majungu ya kutofurahishwa na kazi inayofanyika.
The fact that you can't even mention their names, then you have no moral authority of jeopardizing a small steps that have been taken. Why calumniate the effort made?unaposoma shirikisha ubongo wako..nimeaema ukiwaexpose wanaku......
niwataje sijipendi?
nna majima na hata nkiwataja haitomake sense bila evidence...
na wao sio watu kusogelewa kirahisi katika mambo yao licha ya kuwa social best kuficha maovu yao
na ili kupata evidence must uwe mtu wa karibu au ndani ya syatem na uongozi wa seriikali..
now wat am gonna do?
keep my nose out of their business
i was just warning u...and all tznians out there..bashite is playing with your mind..
dont be fooled with his dramas..
okay baba..i need no argumentThe fact that you can't even mention their names, then you have no moral authority of jeopardizing a small steps that have been taken. Why calumniate the effort made?
You are saying you can't get the evidence but still you believe they are big dealers. How do you know that?
Why don't you join the initiatives done to stop the business lather than sitting aside and blaming them. You can advise them the best way to use, the people you suspect, the methods and tricks they are using etc.
Otherwise keep quiet let those with guts of doing something do it. Don't slow them down for your cowardliness.
Huwezi kupinga jitihada bila kuonesha njia. That's insane.okay baba..i need no argument
imekuuna kwelikwwli
one day e will expose em
umepanic sana.
ndo biashara yako nini nakuharibia?
funmy indeed.Nilisikia wakisema hakuna jiwe litakalobakia juu ya jiwe lingine... was a fake news kumbe... Trump husema Wrong huku mdomo ukija na alama ya ''o''hiyo vita was so funny
safi sana mkuu.kawaida mkuu..jf inanilinda
mi ni mwanamke!
Kinachoo shangaza zaid hii vitaa ya madawa ya kulevya haionekanagii mwisho wakee inazungukaa tyuu watuu wanakamatwa mwisho wa Siku holaa kweli wanacheza na akilii zetunawe unaeamini serikali inapambana na wauza dawa za kulevya ni jinga la majinga.!
hata yule mange nae hawajui..anapewa info na zote zinahusu kambale..nyangumi hawajui.na ili uwaumbue tu hawa watu must uwe mtu wa karibu na system na pia upate ushahidi.
refer to amina chifupa..alipata ubunge na kuwa nao close...akatangaza vita walampoteza kwa kifo cha ghafla!
kuna alietangaza nia ya dhati kupamnana na dawa za kulevya baada ya amina?
leo mkawa mnamshangilia makonda
bila kujua huyu kijana no kibaraka wa walewale
makonda alipewa go on na mzee juma iwe kama kiki..manyangumi wakakutana mkuu wa kaya akatoa wasiwasi mpo salama..msihofu!
wakaanda list ndeefu ya kambale na dagaa ikiwemo hawa mapunda na mateja wanaomwaga udenda mitaani..mnashangilia wee!!
eti vita ya kupambana na madawa unakamata mateja...eti kila mzaz ataekutwa na kijana mtumiaji sheria i juu yake
hata lissu aliongea wee nyangumi mbona wanaachwa..
hivi leo ukishamiri ushirikina watu wanalogwa wanakufa wengine wako hoi kitandani..utawakamata hao waliologwa ili kukomesha uchawi eenh? halafu mnashangilia wee
sasa sikilizeni:
biashara ya dawa za kulevya ilianza tangu enzi za nyerere...na alieianzisha ni kiongozi mkubwa tu ndani ya serikali baada ya kuona inalipa
baadae wengine wakafuatia.
vigogo na watoto wao wanahusika mpaka sasa hivi biashara inaenda.
wana njia mpya..
ukimuona mzee juma shujaa kwa kuweza kuthibiti mitambo pale airport yote hii ni kwa kutafuta sifa kwa wananchi..na wanaonasa pale ni kambale na dagaa..nyangumi wana njia yao mpya na wote wanajua
wanatumia meli za mizigo kubwaa..
meli zikikaribia kutia nanga mzigo unashushwa...mtu mzito akipiiga simu na kutoa oda wote wanaufyata
mzigo unaingizwa kwenye nitumbwi ya uvuvi mpaka ferry
kuna sehemu haifikiw sana na watu imepaki na kuhifadhi mitumbwi chakavu..huko wanashusha mzigo safar inaendelea..
biashara ipo kama kawaida na unga unapatikana kama kawaida..
mnachezewa akili..
roma aliropoka ukweli kupitia post yake mtandaoni yule bwana mwenye makalio makubwa ka anachambia hamira akaamua kumnyamazisha kwa ubaya..
alikua namharibia sinema lake..
wasanii kibao wanawajua hawa nyangumi.
wametumika sana sabb ya tamaa zao
but sharti lao kuu ni moja..
ukimtaja anakupoteza mazima.
USIKUBALI KUCHEZEWA AKILI..
mi naenda kulala..
waliotishwa kwa idadi kubwa ni wauzaji wa kati..hao ndo walikuqa wanafanya anasa za kurusha pesa..ila ma don wapoHata America hawajaweza kumaliza kabisa ila umepungua sana, Ndio maana hata mapapaa wa kurusha dola kwenye benzi na birthday wamepotea