Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa! | Page 71 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Jul 11, 2013.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2013
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 958
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  masogange-mbwembwe.png Hatuwezi kuendelea kukaa kimya. Taifa letu linaaibika vibaya sana.

  Wahusika wanajulikana. Wametajwa mara nyingi na mbinu wanazozifanya kwa kutumia wasanii wa kizazi kipya na waigizaji almaarufu kama 'Bongo Movie'.  Inaudhi, inakera na inatuongezea chuki sana kwa serikali iliyo madarakani. Kaeni kimya na endeleeni kulichafua taifa, kuna siku mtatueleza yote. Au kwakuwa wahusika ni wanenu? Au kwakuwa wakuu wa juu ni wale waliowawezesha kuingia madarakani kisiasa?

  Ndugu zangu, hii ni aibu kubwa kwa Taifa. Inasikitisha sana na inazidi kutuaibisha wengine tunaosafiri ng'ambo. Taifa kama halina rais, taifa kama halina Vyombo vya Dola. Ni upumbavu, ni ufedhuli na mtambue sasa tumechoka. Sasa, tunaanza kuziweka habari za kila anayekamatwa na madawa hadharani, tunaanza kuweka hadi wanaowatuma. Tutawafikia mapapa wote!

  Mambo haya mlimchomekea mtoto wa Mengi, mambo haya mnawachomekea wanyonge wenye njaa kali na hadi mmeua vijana wetu kwa kuwabebesha mizigo michafu hivi!

  Kwa ambao hamjasoma habari hii ya aibu, someni hapa:

  Someni zaidi hapa Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa


  USHAURI KWA VIJANA WA KITANZANIA:
  *************************************

  Habari zaidi ndani ya JF:

  *************************************
  - CHADEMA yatoa tamko baada ya Mbowe kutajwa katika listi ya Makonda

  - Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
  - News Alert: - Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee
  - Mbunge wa Kinondoni umefeli kupambana na Madawa ya kulevya!
  - Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa
  - MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na waandishi wa habari

  - Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi
  - DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii
  - Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

  - Biashara ya Madawa ya Kulevya Tanzania: Who is Pulling the Strings? [September, 2010]
  - Madawa ya Kulevya Tanzania, Serikali Yetu Hamyaoni Yanatumaliza? [March, 2011]
  - Madawa ya kulevya: Rais Kikwete akutana na mawaziri, wakuu wa mahakama na polisi [2013]
  - Kuficha watuhumiwa wa madawa ya kulevya... Wananchi, tufanye nini? [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya - Aina na Athari zake kwa Mtumiaji [February, 2012]

  - Dawa za kulevya: Watanzania watatu wakamatwa India, mmoja afariki
  - Mafia wa Italia na mihadarati Tanzania [December, 2012]
  - Mihadarati (Madawa ya Kulevya) yaivuruga CCM! [November, 2006]
  - Wajumbe Baraza la Wawakilishi Zanzibar watuhumiana kuhusika na Mihadarati (Madawa ya Kulevya) [June, 2011]

  - Serikali kuanika vigogo wa Madawa ya Kulevya bungeni [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha...
  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya Chicago, U.S.A.

  - Mtanzania akutwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa Marekani-Texas tumboni kwake
  - Rais Obama amtaja mfanyabiashara wa madawa ya kulevya mwanamke wa kitanzania aishie Mbezi
  - Polisi wamnasa muuza dawa za kulevya wa kimataifa aitwaye Leila...
  - Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

  - Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
  - Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!
  - Kangi Lugola, mbunge CCM atuhumu Mawaziri ni wauza mihadarati! Serikali yawatetea, awekwa kitanzini!
  - Mtandao wa uhalifu Polisi... Wahusishwa na mauaji, biashara ya mihadarati na ulaji rushwa!

  - Mfanyabiashara jamaa ya Mbunge akamatwa na Shehena ya Madawa ya Kulevya
  - Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!
  - Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Bil 9 Tsh

  - Wapakistan waliokamatwa na madawa ya kulevya ya billion 6 waachiwa kwa dhamana!
  - Picha: Msichana wa KITANZANIA aliyekamatwa na Unga EGYPT kunyongwa...
  - Madawa ya Kulevya: Mabondia wa Tanzania wafungwa miaka 15 nchini Mauritius!

  - Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa
  - Watanzania wawili wakamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong
  - Binti ashikwa na Madawa ya Kulevya JNIA; Polisi wa usalama waomba Rushwa wakataliwa...
  - Mtanzania afungwa jela miaka 15 Zimbabwe kwa kukutwa na madawa ya kulevya

  - Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!
  - Kilumbe Ng'enda: Mbunge Azzan Anahusika na Biashara ya Dawa za Kulevya

  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya US
  - Mapapa wa madawa ya kulevya watajwa, wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz
  - Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

  - Mtambo wa Dawa za kulevya waingizwa nchini, upo Mbezi Beach!
  - Serikali sasa kuanzisha mahakama ya madawa ya kulevya...!!
  - Madawa ya Kulevya: Mashine mpya zafungwa JKIA
  - Bungeni Live: Hoja juu ya Madawa ya Kulevya
  - CHADEMA watoa tamko kuhusu madawa ya kulevya
  - Vita dhidi ya madawa ya kulevya: Waziri akiri wauza unga kuifadhili CCM, Nzowa aizamisha Jambo leo
  - Sakata la madawa ya kulevya: Kamanda wa polisi viwanja vya ndege ahamishwa
  - Sakata la madawa ya kulevya: Viongozi wachunguzwa na kuhojiwa
  - Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib
  - Mtanzania adakwa na mihadarati China
  - Mtanzania akamatwa akiwa na Madawa ya Kulevya United Arab Emirates (UAE)

  - Mshambuliaji wa zamani wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya...
  - Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain
  - Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!

  - Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya Dubai amlaumu mumewe
  - Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!
  - Ripoti UN: Tanzania kinara dawa za kulevya
  - Uchochoro wa kuvusha dawa za kulevya Dar huu hapa
  - Baadhi ya njia zinazotumika kupitisha madawa ya kulevya uwanja wa ndege JKNIA
  - Madawa ya kulevya: Mtanzania afia Dubai, wengine wadaiwa kukamatwa China na Brazil
  - Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) naye akamatwa Brazil
  - Mwanajeshi Rashid Mohamed akamatwa na mirungi kilo 20 huko Tanga
   
 2. I

  Ibrahim Jeremiah New Member

  #1401
  Mar 13, 2017
  Joined: Sep 1, 2016
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Vita ya madawa ya kulevya ni vita kubwa mno
  Huenda ikaizidi hata vita ya mafisadi kwasababu mafisadi ni wezi wa fedha na wala rushwa sio mamafia.

  Mapapa wa madawa ya kulevya ni watu wakubwa,wenye fedha nyingi,wanasiasa wakubwa na viongozi wakubwa sana wa dini n.k.

  Mara nyingi hawa mapapa hawajihusishi moja kwa moja na biashara hii haramu hivyo ni ngumu kuamini kama biashara zao ni haramu

  Kwasababu wanapata pesa nyingi hawaoni hasara kutumia pesa nyingi aidha kusaidia jamii ama katika kufanya starehe zao ama kuhonga serikali,mahakama na hata bunge lote kwa ujumla.

  Ili kuishinda vita hii ni vema Taifa likawa pamoja na serikali ikawa pamoja pia yaani mahakama ikapinga madawa ya kulevya,bunge likapambana dhidi ya madawa ya kulevya na serikali pia.

  Mihimili yote ya serikali isimame na kuwa kitu kimoja kama Serikali hapa vita hii tutaweza kuishinda

  Otherwise tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu!

  Vita hii haiwezi mtu mmoja ama kikundi cha watu wachache abadani,mapambano haya tutashinda endapo tutasimama sote kwa pamoja kupambana!
   
 3. j

  jabulani JF-Expert Member

  #1402
  Mar 13, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 3,143
  Likes Received: 4,096
  Trophy Points: 280
  Wenye vyeti feki hawawezi kuwa na uadilifu wa kupambana vita hii, watakuwa na double standards.
   
 4. Rich Hash

  Rich Hash Member

  #1403
  Mar 14, 2017
  Joined: Mar 7, 2017
  Messages: 73
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 40
  Tatizo tunashinidwa kutofautisha wanasiasa na wanataaluma, mara nyingi nafsi nyingi za kisiasa hazihitaji mtu kuwa na ngazi fulani ya elimu suala ni utendaji wa mtu ndio utakaomfanya mwenye mamlaka ya kuteua kufanya hivyo.Tofauti na kazi zinazohitaji taaluma ya mtu ili kumuweka katika nafasi fulani mfano mwalimu, daktari, nesi n.k.
  Chamsingi Watanzania tuwe na busara ya kutoshabikia kila kitu kwa sababu ya chuki tulizopandikizwa na makundi fulani katika jamii/siasa za kuchafuana ili tu kufanya mtu fulani aonekane mbaya na hafai katika jamii yetu.
   
 5. b

  bakari1354 Member

  #1404
  Mar 15, 2017
  Joined: Feb 15, 2017
  Messages: 9
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 5
  Hahahaha ndo mwisho wako wa kufikiri unazani wauza unga ni watoto kama nchi zilizoanza zamani kupambana na wauza unga kama kina escobar hadi leo nchi hizo bado dawa zinaingia angalia sheria kali za china juu ya wauza unga na bado unga unaingia angalia england marekani wameimarisha ulinz wa mipaka lakn bado dawa zinaingia fikiria upya nje ya box hii vita sio ndogo et ya kumaliza kwa kuimarisha mipaka bongoo hii
   
 6. Endo agar

  Endo agar JF-Expert Member

  #1405
  Mar 22, 2017
  Joined: Sep 26, 2014
  Messages: 471
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 80
  Hakuna vita yoyote ya madawa inayopiganwa na RC wa Dar, alichokifanya ni kutaja listi ndefu ya watumiaji wa madawa tena wanaofahamika na jamii, ilihali tulitegemea atatutajia hao druglords rafiki zake. Anapigana vipi vita hio, ikiwa miungu wa madawa na wahusika wakuu, "Drug lords" anawakumbatia na wengine wanahusika kumsafisha.

  ANGALIZO;
  Jamani, acheni kumtetea kwa hoja ya kuwa anapigana vita, anastaihili kuwa gerezani huyu mtu. Hawezi linganishwa na Amina Chifupa(R.I.P), sababu ni mnafiki anatumia njia ya kutaja watumiaji na kuwaacha Druglords ili kulipa visasi na chuki zake binafsi.
   
 7. Mwasita Moja

  Mwasita Moja JF-Expert Member

  #1406
  Mar 22, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 2,908
  Likes Received: 2,549
  Trophy Points: 280
  Hii ni nafsi ya pekee kwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam kuwanyoosha wauza madawa ya kulevya katika mkoa wake.

  Ijulikane kwamba wauza madawa ya kulevya ni matajiri wanamiliki vyombo vya habari, kwa hiyo ukiwagusa tu wanapiga kelele na kukuchafua kupitia redio na TV zao.

  Sasa kama wamejizuia kukuandika ni faida kwako kuwashughulikia kwa sababu hawana pa kupigia kelele.

  Makonda wanyooshe sasa.
   
 8. Ngushi

  Ngushi JF-Expert Member

  #1407
  Mar 22, 2017
  Joined: Jul 8, 2016
  Messages: 6,543
  Likes Received: 12,295
  Trophy Points: 280
  sampuli kutoka kolomije wewe
   
 9. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1408
  Mar 22, 2017
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,169
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  wewe uko mwezi mmoja nyuma. ni dhahri RC Daudi A. Bashite (DAB) hana wajibu wa kisheria kushughulikia hilo suala la madawa ya kulevya. Yeye anaweza kushughulika na "madaraka ya kulevya"
   
 10. Mwasita Moja

  Mwasita Moja JF-Expert Member

  #1409
  Mar 22, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 2,908
  Likes Received: 2,549
  Trophy Points: 280
  Fedha za dawa za kulevya lazima zikauke dar.

  Mtarudi kijijini

  Shame on them, mmeuwa Sana Vijana wetu.
   
 11. ndege JOHN

  ndege JOHN JF-Expert Member

  #1410
  Mar 22, 2017
  Joined: Aug 31, 2016
  Messages: 3,124
  Likes Received: 4,513
  Trophy Points: 280
  Mimi Nipo upande mmoja na magufuli na makonda. Najua hizi zilikuwa kelele za wauza unga Sasa wajue Mwisho Wao umewadia
   
 12. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #1411
  Mar 22, 2017
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 4,237
  Likes Received: 4,356
  Trophy Points: 280
  Wewe mbona hurudi kijijini?
   
 13. falcon mombasa

  falcon mombasa JF-Expert Member

  #1412
  Mar 22, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 8,088
  Likes Received: 5,221
  Trophy Points: 280
  mpuuzieni mtoa post ni mlevi wa kutupwa
   
 14. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1413
  Mar 22, 2017
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,169
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  i wish ungenifahamu ni wapi na vipi ninavyoishi eg kazi na kipato changu. situmii wala siuzi dawa za kulevya. nishazika ndugu kadhaa kutokana na matumizi ya dawa za kulevya so nayachukia haswa. kutumia vita ya dawa za kulevya as shield, hakutamsaidia hata nusu dakika. ana options tatu tu kuondokana na hii kadhia;(1)ajibu tuhuma maana tuhuma hujibiwa kwa tuhuma sio kama hii mipasho yenu na ajibu kwa kuonyesha cheti chake cha form 4 kisha tuone kama alikuwa na sifa za kuenxelea na masomo NA atolee ufafanuzi wa uvamizi wake studio, (2)kama hana cheti yaani alighushi, basi AJIUZULU na (3) atumbuliwe. Mnapomtetea na anapozidi kukaa ofisini mabaya zaidi yanaibuka/yanaibuliwa ambayo yanachafua chama, JPM na Bashite mwenyewe. Kwa sasa Bashite hayupo vizuri kabisa kisaikolojia na nafikiri atazidi kutenda jinai na kama kweli mnampenda Bashite muombeni ama ajiuzulu au atumbuliwe
   
 15. mzee wa liver

  mzee wa liver JF-Expert Member

  #1414
  Mar 22, 2017
  Joined: Dec 14, 2014
  Messages: 59,469
  Likes Received: 326,278
  Trophy Points: 280
  Wana jamvi leo nimetafakari sana baada ya matukio yanajitokeza kwenye nchi hii lakini kubwa ambalo linanifanya kuandika uzi huu ni
  Tuhuma za kutangaza hadharani majina ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya iliyokuwa inatolewa na mkuu wa mkoa wa Dar
  Kumbe naanza kuamini kuwa ni fake kwa sababu mkuu wa mkoa alikuwa na sababu zake kufanya hivyo
  Nashawishika kusema hivyo kwa sababu kilichojitokeza clouds studio usiku baada ya kuvamiwa na kukataa kutii Amri ya mvamivizi alitoa kitisho kuwataja kwenye orodha ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya sasa tumeanza kupata picha kwa nini GSM na Nàs kumpa magari ya kifahari nawakilisha.
   
 16. myoyambendi

  myoyambendi JF-Expert Member

  #1415
  Mar 22, 2017
  Joined: Sep 13, 2013
  Messages: 47,568
  Likes Received: 240,725
  Trophy Points: 280
  Duh!
   
 17. Shindu Namwaka

  Shindu Namwaka JF-Expert Member

  #1416
  Mar 22, 2017
  Joined: Sep 22, 2014
  Messages: 4,825
  Likes Received: 2,936
  Trophy Points: 280
  Bashite Bashite Bashite Wewe
   
 18. k

  kemi lora Member

  #1417
  Mar 22, 2017
  Joined: Dec 14, 2016
  Messages: 65
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  Malipo yake atayapata hapa hapa duniani wala sio kokote
   
 19. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #1418
  Mar 22, 2017
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,282
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  Kwa kifupi kabisa.Ili makonda apate uhalali wa kujitetea kupitia vita ya madawa ya kulevia,atuambie au fikirieni toka kaanza vita yake.Ni nani yupo mahakamani kwa tuhuma za kuuza?Kati ya aliowataja"Na hata kama yupo.Yupi alikamatwa na mzigo?Wooote,Aliishia kusema anatumia au alikuwa anatumia.
  Asanteni!
   
 20. Emmadogo

  Emmadogo JF-Expert Member

  #1419
  Mar 22, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4,160
  Likes Received: 3,417
  Trophy Points: 280
  Ile ilikuwa movie tu mwana!! Ya kupiga hela kwa mkono wa nyuma
   
 21. wauza Ngada Mwafaa

  wauza Ngada Mwafaa Senior Member

  #1420
  Mar 30, 2017
  Joined: Mar 25, 2017
  Messages: 158
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 60
  Makonda amewashinda nguvu wauza madawa ya kulevya na kila propanganda yao, juu yake imeshindwa vibaya.

  Wamejaribu kuzuia Makonda asiripotiwe na vyombo vya habari wakashindwa.

  Wamejaribu kumfanya Makonda achukiwe na wananchi wakashindwa.

  Wamejaribu kushinikiza afukuzwe kazi wameshindwa


  Kwa hiyo Makonda kwa wauza madawa ya kulevya ni kama Maji,
  Wasipomunywa, watamuoga,

  Shame on them wauza ngada.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...