Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

1.Jina la Muhusika
2.Mahali alipo ie Mtaa anaoishi ikiwezekana na eneo analouzia madawa.
3.Anashirikiana na nani?
4.Anaifanyaje hiyo biashara, Hii ikiwa na maana ni njia gani anatumia hadi iwe ngumu kwa yeye kuingia kwenye vyombo vya usalama.
5. Muhusika/Wahusika anatumia njia gani kuingiza madawa hayo nchini.
6.Watu mashuhuri/ Viongozi wa serikali ambao kwa namna moja ama nyingine wa nachanganya uwepo wa madawa hayo.
7. Mianya iliyopo kwenye Entry Points zote ambayo inatumiwa kuingiza dawa hizo.

Tukumbuke athari za Madawa ya kulevya si za mtu mmoja ni za Taifa kwa Ujumla.

Nakaribisha Majadiliano.
Mkuu hii ni mada nzur sana ila ww hujataja hata mmoja. Tupe mfano mmoja mkuu
 
mtoa mada nina wasiwasi na ww mbna ww hujaeka hata jina moja!,majina tutataja polisi kituoni unataka tuwataje humu ili m'badilishe majina,makaz,mbinu nk!......tuliwatajaga watoto flan wa mjini walikuwa pale migo warriors na akina becka ranger ila ile kuwataja tuu hawajaonekana tena kudadek!
 
Huku ni kupotezeana muda kikwete anawajua, mwaka 2012 kuna mfungwa huko China alitaja majina kadhaa ya wauza madawa mpaka shughuli zao wanazofanya na hakuna hatua yoyote iliyowahi kuchukuliwa kwa nini upoteze mda kutaja watu wanaojulikana.
 
1.Jina la Muhusika
2.Mahali alipo ie Mtaa anaoishi ikiwezekana na eneo analouzia madawa.
3.Anashirikiana na nani?
4.Anaifanyaje hiyo biashara, Hii ikiwa na maana ni njia gani anatumia hadi iwe ngumu kwa yeye kuingia kwenye vyombo vya usalama.
5. Muhusika/Wahusika anatumia njia gani kuingiza madawa hayo nchini.
6.Watu mashuhuri/ Viongozi wa serikali ambao kwa namna moja ama nyingine wa nachanganya uwepo wa madawa hayo.
7. Mianya iliyopo kwenye Entry Points zote ambayo inatumiwa kuingiza dawa hizo.

Tukumbuke athari za Madawa ya kulevya si za mtu mmoja ni za Taifa kwa Ujumla.

Nakaribisha Majadiliano.

Kaka hiyo list hipo Ikulu, JK alikabidhiwa na tuna matumaini kuwa katika like faili lake alilolihandover kwa JPM hiyo list pia hipo
 
Tukiwataja hapa wengi majina yao ni yakina Abdalla.

Hakuna haja ya kuwataja Serikali yenyewe inawajua na wengine ni wabunge mfano ni yule wa moja ya majimbo ya Dar. Alishatajwa sana humu ndani.
 
1.Jina la Muhusika
2.Mahali alipo ie Mtaa anaoishi ikiwezekana na eneo analouzia madawa.
3.Anashirikiana na nani?
4.Anaifanyaje hiyo biashara, Hii ikiwa na maana ni njia gani anatumia hadi iwe ngumu kwa yeye kuingia kwenye vyombo vya usalama.
5. Muhusika/Wahusika anatumia njia gani kuingiza madawa hayo nchini.
6.Watu mashuhuri/ Viongozi wa serikali ambao kwa namna moja ama nyingine wa nachanganya uwepo wa madawa hayo.
7. Mianya iliyopo kwenye Entry Points zote ambayo inatumiwa kuingiza dawa hizo.

Tukumbuke athari za Madawa ya kulevya si za mtu mmoja ni za Taifa kwa Ujumla.

Nakaribisha Majadiliano.

Sehemu sahihi na salama ya kuripoti na hatua kuchukuliwa immeadeately hiyo hapo

Julisha Uhalifu
 
amani kwa kaka voda milionea, mwambie mdogo wake
aache poda ale Mmea....by Jay Moe
then Langa akajibu "amani kwa kaka voda milionea, mwambie
mdogo wako aache ushoga na Umbea.
haya sasa waanze na uyo kaka voda milionea
 
1.Jina la Muhusika
2.Mahali alipo ie Mtaa anaoishi ikiwezekana na eneo analouzia madawa.
3.Anashirikiana na nani?
4.Anaifanyaje hiyo biashara, Hii ikiwa na maana ni njia gani anatumia hadi iwe ngumu kwa yeye kuingia kwenye vyombo vya usalama.
5. Muhusika/Wahusika anatumia njia gani kuingiza madawa hayo nchini.
6.Watu mashuhuri/ Viongozi wa serikali ambao kwa namna moja ama nyingine wa nachanganya uwepo wa madawa hayo.
7. Mianya iliyopo kwenye Entry Points zote ambayo inatumiwa kuingiza dawa hizo.

Tukumbuke athari za Madawa ya kulevya si za mtu mmoja ni za Taifa kwa Ujumla.

Nakaribisha Majadiliano.

Ngoja nimuulize Ritz1 kwanza....nitarudi kidogo.
 
Nendeni Msoga;Mtakuta list nzima hadi picha zao.
Tusichoshane.
Uliza uambiwe hao wanaotoa taarifa za washukiwa wa uhalifu kila kinawakuta.Hao hao wana usalama wanawataja kwa wahusika.
 
mtoa mada nina wasiwasi na ww mbna ww hujaeka hata jina moja!,majina tutataja polisi kituoni unataka tuwataje humu ili m'badilishe majina,makaz,mbinu nk!......tuliwatajaga watoto flan wa mjini walikuwa pale migo warriors na akina becka ranger ila ile kuwataja tuu hawajaonekana tena kudadek!
wito wangu kwako paza sauté
 
Globally unga ni TATIZO sio TZ tu....japokuwa kidonda kikiwa mwilini mwako wewe ndo unayesikia maumivu ...ila kikiwa kwa mwenzio hata kiwe kinatisha vipi huwezi sikia maumivu...nashangaa serikali inalifumbia macho tatizo hili....Tatizo wauza unga ni WAZITO..
sijasikia mtumbuaji majipu anatumbua wahusika wa kufuatilia hili suala ndio utajua dunia ya Mungu vitu vya Mzungu
 
asante sana mleta mada hii ni mada angavu sana ya kuchangia siyo kila siku mada ni hali ngumu ya maisha tu,na kulaumu serikali
 
Back
Top Bottom