Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Asanteni kwa michango mizuri sikuwahi dhani kama hii ishu inaweza kuwagusa watu kwa namna ya kipekee hivi
Wito wangu tuwaombe Invisible na Moderator wauwekee kipini huu uzi usipotee pls do the needful
 
Kama tunaweza kuwataja bayana na kuwaandika kwenye magazeti watumiaji na waathirika wa madawa ya kulevya sasa imefika wakati wa kuwataja hadharani na kuchukuliwa hatua za kisheria "vinara" wote wanao uza madawa ya kulevya.

Wauzaji wote wanaishi ktk jamii zetu, tuwafichue!!!

Serikali iwe na dhamira ya dhati kupambana na wauzaji bila kusita, jeshi la polisi kitengo cha madawa ya kulevya sasa ni wakati wa kuongeza mbinu za upelelezi na misako ktk maeneo yanayo shukiwa.
 
Tatizo ni sheria. Inahitaji evidence ngumu sana. Mpaka umkamate nayo. Sasa hapa hata wakitajwa nani anaenda kutoa ushahidi? Wanaonekana hawana hatia wanarudi uraiani.
 
Tatizo la unga ni moja. Once you get high, ile feeling ni tamu kuliko raha zote duniani. Pombe na bange,LCD Ecstasy weka kuleeee. Unga ndo wenyewe.

Sasa uta vuta tena lakini hautajisikia kama ile mara ya kwanza. So unakuwa teja kwa kujaribu kufika ile hali ya kwanza na hutawahi kufika.


Cha kufanya ni kutojaribu. Unga ni hatare wandugu. It is a risk nobody can afford to take. Sio wa kujaribu. Unga ni gusa unase.
OMG!! sad...
 
Tatizo la unga ni moja. Once you get high, ile feeling ni tamu kuliko raha zote duniani. Pombe na bange,LCD Ecstasy weka kuleeee. Unga ndo wenyewe.

Sasa uta vuta tena lakini hautajisikia kama ile mara ya kwanza. So unakuwa teja kwa kujaribu kufika ile hali ya kwanza na hutawahi kufika.


Cha kufanya ni kutojaribu. Unga ni hatare wandugu. It is a risk nobody can afford to take. Sio wa kujaribu. Unga ni gusa unase.
Dependence effect
 
Mkuu madawa ya kulevya ni tatizo la kujitakia waache wahusika wahangaike nalo
FB_IMG_1483609230186.jpg
 
1.Jina la Muhusika
2.Mahali alipo ie Mtaa anaoishi ikiwezekana na eneo analouzia madawa.
3.Anashirikiana na nani?
4.Anaifanyaje hiyo biashara, Hii ikiwa na maana ni njia gani anatumia hadi iwe ngumu kwa yeye kuingia kwenye vyombo vya usalama.
5. Muhusika/Wahusika anatumia njia gani kuingiza madawa hayo nchini.
6.Watu mashuhuri/ Viongozi wa serikali ambao kwa namna moja ama nyingine wa nachanganya uwepo wa madawa hayo.
7. Mianya iliyopo kwenye Entry Points zote ambayo inatumiwa kuingiza dawa hizo.

Tukumbuke athari za Madawa ya kulevya si za mtu mmoja ni za Taifa kwa Ujumla.

Nakaribisha Majadiliano.
 
Waende dodoma mtaa unaitwa airport....poda inauzwa nje nje na kuna wadada wanajisifu wazi wazi kuwa wao ndio wauza poda
 
Acha wauze maana ndo kaz yao kuwaingizia kipato, kaz ya police nn? Mnataftia data Jf wakat mnaipinga na kushka mwanzlish wake! Mh.Rais anajua walipo Subr upepo ukigeukia kwao utawasikia tu!
 
Back
Top Bottom