Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

naona makonda Kama alimpiga kijembe flani ndugu nape
chidi mapenzi

Chidi Mapenzi athibitisha mapenzi yake kwa Shamsa Ford


Mume wa Shamsa Ford ambaye pia ni Mfanyabiashara Maarufu anaye julikana zaidi kwa jina la ChidiMapenzi amezidi kuitia sukari ndoa yake na msanii wa filamu nchini Shamsa Ford baada ya kumnunulia gari adimu hapa nchini aina ya Mini Cooper.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chidi Mapenzi aliweka picha ya gari hiyo na kuandika “This is for you my lovely wife”

media


Nae Shamsa Ford hakuwa nyuma kutoa shukrani zake hivyo aliweka picha ya gari hiyo na kuandika:

“inaweza kuwa dogo kwa wengine lakini kwangu ni kubwa mnoo..Asante mume wangu rashidi kwa kunithamini. Hakika Mimi na wewe tumeonganishwa na Mungu na atayetutenganisha Mimi na wewe ni MUNGU pekee na si mwanadamu..Nakupenda MWANAUME WA NDOTO ZA MAISHA YANGU..”
 
Kama Kassim Majaliwa atamuacha Makonda aendelee na huu upumbavu basi serikali itangaze rasmi kuwa waziri mkuu ni Makonda na sio Majaliwa kwasababu mwenyekiti wa hii tume ya kupambana na drugs ni Kassim Majaliwa na sio Makonda.
Upumbavu gani unaosema wa kuumia watu au ,lazima tumsifu Makonda kwa kuthubutu,kutokana na yeye sasa moto wa madawa ya kulevya umeanza kuonekana,tume imeundwa na hata majaji watafuatilia ,je Makonda angekaa kimya mnadhani yote haya yanyotokea yangekuwepo?lazima tumpongeza Makonda kwa juhuzdi alizozianzisha,Kudos Makonda !
 
Leo Kapeleka Majina Kwa nini Asiwataje Hadharani?
Alikuwa anawataja sababu hakukuwa na tume na sasa kwa juhudi zake kuna tume ambao ndio watahusika,na usisubiri tu Makonda awataje na wewe unatakiwa uwataje kwani unawafahamu
 
Upumbavu gani unaosema wa kuumia watu au ,lazima tumsifu Makonda kwa kuthubutu,kutokana na yeye sasa moto wa madawa ya kulevya umeanza kuonekana,tume imeundwa na hata majaji watafuatilia ,je Makonda angekaa kimya mnadhani yote haya yanyotokea yangekuwepo?lazima tumpongeza Makonda kwa juhuzdi alizozianzisha,Kudos Makonda !

kutaja suspects hadharani kabla hujawakamata ni upumbavu kwasababu approach ya namna hiyo inasababisha suspects kuepuka mkono wa dola na kuharibu ushahidi.

mpumbavu hapongezwi kamwe.

Leo ndiyo mwisho wa sinema la kihindi Starling kafia kwenye maua.
 
Kwanza tambua hakuna anayepinga wala kutetea ila approach iliyotumika ndo haifai.

Sasa upele umepata mkunaji


naamini kuwa hafanyi hivyo bila kuelekezwa na mkuu wake..mkuu JPM alikuwa nyuma yake na anajua nini Makonda anachokifanya. Nyie mnaebwabwaja sielewi ni nini...mnahila. Apambane kwa njia zozote zile ilimradi apambane na wauza unga..Yaani namuunga mikono na miguuu...dahh ndugu yangu kaishia kwenye madawa, kijana ambaye angekuja kuwa pengine kiongozi wa familia...Makonda baba endelea..

Nendeni Brazil Kinondoni ndio mtajua watoto wa watu walivyoathirika na hizi dawa...

Njia zozote Mh. Makonda tumia ilimradi janga hili lipungue...Watu wanatajirika kwa kuwauwa wana wa wenzao...Waumbue wajulikane, sio wanajifanya malaika machoni mwa watu kumbe mioyoni ni mashetani wakubwa..
 
Back
Top Bottom