Mkuu hata aliposema wapige makofi hukusikia?Yule mkuu wa mkoa,HAPANA!
Hakika simwamini tena Huyo mtaka
SIFA!Nimemsikiliza kwa masikio yangu mawili tena makubwa lkn sijaambulia lolote la maana toka kwake.Zaidi ambulio langu kwake,ni MAJIGAMBO na VIJEMBE kwa wakosoaji wake.Niseme tu,sijaona lililo la maana toka kwake.
Amejitahidi sana leo kukusanya eti aliowaita WADAU kuja kumsikiliza.Eti wakuu wa IDARA ni WADAU?!Wataalamu hao leo wamelazimishwa kufunga ofisi na kutowahudumia wananchi eti kisa....?!
KAMISHNA upo vizuri.Ww ni mweredi usiye fichika.Mtu uliye na wingi wa BUSARA na HEKIMA.Hakika ww ni chaguo sahihi (japo ni mapema).
Muhimu,mwombe MUNGU azidi kukuongoza ktk yote.DUMU ktk kutoonea wasio na HATIA.Ktk yote,uwe mwerevu na msikivu wa yote ktk wote.
Na MUNGU akuongoze.
Kwa hiyo hakuna jiwe litakaloachwa chini ya jiwe?mimi macho yangu yako ziwaniYaani hata watu wasemeje ila Makonda nimemkubali
Na anayemwandikia hivi vibango ni nani? Ni yeye mwenyewe au mke wake? Yaani ofisi ya RC haiwezi kuonesha professionalism kidogo. Mwandiko utafikiri mtu kashikwa ugoni na waandishi wa habari hawahoji imekuwaje? Na huyo mkuu mpya wa kitengo cha kudhibiti madawa amekubali kuingizwa choo cha kike - "MAJINA 97 YA WAUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA .." Nani amewatia hatiani? Kazi ya mahakama ni nini kama Bw Mokondo tayari kawahukumu? Hawa ni WATUHUMIWA. Hakimu au jaji pekee ndiye anaweza kutundika orodha ya WAUZAJI WA MADAWA baada ya kujiridhisha kuwa wana hatia! WaTz inabidi tufike mahala tusikubali kurubuniwa na kupindishiwa utaratibu mzuri wa haki na sheria. Huyu kijana ni msanii na JPM atakuja kugundua when it's too late.Hujaona usanii uliotumika hapo?
yapo mjina yaliyttajwa kaa jina moja tu (bila ubin/bint)
yapo yalioandikwa vizuri, mawili au matatu, lakini yameandikwa zaidi ya mara moja(yamerudiwa kuandikwa)
Yeye mwenyewe ni kati ya mapapa wauzaji tusubir muda utaongea tuNa anayemwandikia hivi vibango ni nani? Ni yeye mwenyewe au mke wake? Yaani ofisi ya RC haiwezi kuonesha professionalism kidogo. Mwandiko utafikiri mtu kashikwa ugoni na waandishi wa habari hawahoji imekuwaje? Na huyo mkuu mpya wa kitengo cha kudhibiti madawa amekubali kuingizwa choo cha kike - "MAJINA 97 YA WAUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA .." Nani amewatia hatiani? Kazi ya mahakama ni nini kama Bw Mokondo tayari kawahukumu? Hawa ni WATUHUMIWA. Hakimu au jaji pekee ndiye anaweza kutundika orodha ya WAUZAJI WA MADAWA baada ya kujiridhisha kuwa wana hatia! WaTz inabidi tufike mahala tusikubali kurubuniwa na kupindishiwa utaratibu mzuri wa haki na sheria. Huyu kijana ni msanii na JPM atakuja kugundua when it's too late.
Acha uzoba TID anamiaka mingapi... soma kabla hujaamua kushusha bikini yakoMi sijaju amewazalilisha kivp bas hata TID amezalilishwa pia
Mkuu mi nimesema mbona hawajasomwa kama yale mengine? Wanaolalamika ni wale wa upande mwingine kichamaYasiposomwa mnalalamika yakisomwa mnalalamika.
Kama Kassim Majaliwa atamuacha Makonda aendelee na huu upumbavu basi serikali itangaze rasmi kuwa waziri mkuu ni Makonda na sio Majaliwa kwasababu mwenyekiti wa hii tume ya kupambana na drugs ni Kassim Majaliwa na sio Makonda.[/QUOTES
Sasa makonda si anadili na mkoa wake kwanza au harusiwi kisheria
inawezekana kwa heps B Mzee ata body contactunanielekeza nn wewe pimbi hepatits inapatikana kwa fluids contact na sio skin contact,
pia ile ni viral infection na sio ugonjwa wa ngozi
unanielekeza nn wewe pimbi hepatits inapatikana kwa fluids contact na sio skin contact,
pia ile ni viral infection na sio ugonjwa wa ngozi[/QUOTE
Saafi mkuu bora tuu angeamua kumwaga ugali maana mboga keshamaga tangu awalikutowataja hawa hakutenda haki kwa aliokwisha wataja,, wew unadhan watanzania akilini mwao kumejaa majina ya kina nani? waliotajwa au ambao hawakutajwa? obvious alokwisha wataja.... Angetaja tyu watu wapooze Arosto za udaku
Chongeni hakuna wa kuwazuia banaYeye mwenyewe ni kati ya mapapa wauzaji tusubir muda utaongea tu
UmeonaeeLeo ilikuwa siku ya majina uchwaraa
Awamu ya tatu !!!!! Uwiiiiiii heeeeeheeheeee patamu apo akina nani hinoooo pia ndaniHiyo ya kusema joto litahusisha uongozi wa AWAMU YA TATU mbona kasheshe!
Bila kusahau issue ya njaa, na bei ya vyakula inavyopanda kwa mwendokasi!Hii sinema imeshakwisha haina kichwa wala miguu sterling kafa kifo cha mende sasa turudi mapato ya TRA ya mwezi January na matokeo ya form four.
Mkuu Kimbwigio, nilisema wazi wiki iliyopita kwamba huyu steringi siyo atafia kwenye maua watu wakanisakama. Sasa leo kaja na staili ya kuchekacheka na kujifanya mlevi kama Drunken master. Kumbe wapi bwana, tangu lini sinema ya mapigano steringi akawa "Charlie Chaplin!!?Hii sinema imeshakwisha haina kichwa wala miguu sterling kafa kifo cha mende sasa turudi mapato ya TRA ya mwezi January na matokeo ya form four.
Ha ha ha haaaHii sinema imeshakwisha haina kichwa wala miguu sterling kafa kifo cha mende sasa turudi mapato ya TRA ya mwezi January na matokeo ya form four.