Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

Sasa mihimili inavurugana Leo hii tume inaonekana ina nguvu kubwa kuliko mahakama ikipeleka kesi mahakamani lazima mtu afungwe kwa hofu ya jaji kupoteza kibarua
Acha uhuni wewe ninamfahamu kamishna huyo anayosema kuhusu mahakimu na majaji hao ni kweli wanastahili kuchukuliwa hatua kwa kutumia mamlaka yao kunusuru vigogo wa madawa.sasa kazi imeanza
 
Zamani tulikua na Jamii forums habari kama hii ya makonda kale kainzi ka JF ingekua imeshaiiba na kuileta hapa Jamvini. Kwa sasa tusubiri hisani ya Kamishna au mange Kimambi
 
Acha uhuni wewe ninamfahamu kamishna huyo anayosema kuhusu mahakimu na majaji hao ni kweli wanastahili kuchukuliwa hatua kwa kutumia mamlaka yao kunusuru vigogo wa madawa.sasa kazi imeanza
Kidogo huyu jamaa nae katema hapa.
Kuna mama alikamatwa na bange ka gunia hivi akakomalia apelekwe mahakamani alipelekwa na kuachiliwa hulu, maaskari hua wanalipita banda lake kama genge la msiba
 
Back
Top Bottom