cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,773
- 73,517
Alie kosa Ubunge wa Afrika Mashariki si Madaraka Nyerere bali ni Makongoro Nyerere, nafikiri umepitiwa tu kidogo.
Sijapitwa na kitu.
Alie kosa Ubunge wa Afrika Mashariki si Madaraka Nyerere bali ni Makongoro Nyerere, nafikiri umepitiwa tu kidogo.
Sio "makongoro" ni "madaraka" mtoto mkubwa wa the late mwl nyerere
Na sheria anayoisema hii hapa
Naomba unisamehe kwa kufikiria wewe ni Le murua, kumbe wewe ni mtoto wa juzi
DABs slut!
Aitoe tu,aiweke ya mama yake aliyemshauri.
Akaweke ya mama yake aliyemwambia akae kimya huku kasema yote aliyokuwanayo.
Sasa kama haujapitiwa na kitu nani aliekosa Ubunge juzi kwa mujibu wa maelezo yako na anaetafuta kiki?Sijapitwa na kitu.
So you know DABHa ha ha haaaaaaaa
Kama hao wako wote wa damu na wa pembeni yako wako hivyo basi usifikiri na mimi niko hivyo. Ha ha haaaaa unatia aibu nao
Mkuu Kitu kuwa freely available kwenye mtandao, hakiifanyi kiwe kwenye public domain,,
Kitu kuwa public domain ni author mwenyewe anaamua kiwe public domain, au miaka 50 baada ya kifo cha author kitu ndo kinakuwa public domain kwa sheria za nchi nyingine ni 70 years after death ya author
. Huwezi ukasema kisa wimbo wa Rihanna upo mtandaoni basi ndo umekuwa public domain, tofautisha kati ya publicly available na public domain kwenye sheria za IP.
Fair use, is not something you design, imekuwa expressly provided kwenye sheria, ndo maana nikakuwekea hapo sheria yenyewe na vifungu kabisa ili kama bwana Diamond kuna sehemu inamcover utuoneshe.
Makongoro au Madaraka!?Ooooh
Acha atafute kiki, kukosa ubunge juzi inambidi tu.
Duh!
Naona wewe ni mzigo kweli kweli.
Hivi unajua hata maana ya public domain kweli wewe? Unajua kitu kikiwa kwenye public domain maana yake ni nini?
Haya, hebu twende mudogo mudogo labda utaelewa:
Tuanze na Cambridge Dictionary: If information is in the public domain, it is available for everyone to see or know about: Link
Oxford nao wanasema hivi hivi:
Something that is in the public domain is available for everyone to use or to discuss and is not secret
Link
Merriam-Webster:
the public domain
1 : the state of something that is not owned by a particular person or company and is available for anyone to use
Link
Kwa fasili hizo tatu nilizokuwekea ni dhahiri shahiri hujui maana ya kitu kuwa kwenye 'public domain'.
This is major league gobbledygook!
Kwenye bandiko lako namba 251, kama unatumia desktop version, umeandika hivi na nakunukuu "Kwa Tanzania Section 12(2) ya Sheria ya Copyright and Neighbouring Rights Act, 1999. inaonesha vitu ambavyo can be considered as fair use. ambapo Section 12(2)b and 12(2)c covers fair use by news paper, publications, schools, universities, religious and e.t.c"
Umeona hapo mwisho kenye "e.t.c"? Nikuulize sasa....hapo maana yake nini?
Hii ni nini umeandika?Ooooh
Acha atafute kiki, kukosa ubunge juzi inambidi tu.
Bwana Nyani Ngabu kwenye Sheria (particularly kwenye sheria za Intellectual Property) definition ya public domain sio hiyo unayoielewa na kuingolea.
definition ya Public domain kwenye mambo ya Intellectual Property sio hiyo unayoleta ya kwenye dictionary.
Kwenye sheria za IP kitu kinakuwa under public domain only when is not protected by copyright law.
Kuna kisummary cha Maana ya Public domain kwenye mambo ya Intellectual Property kutoka Stanford University unaweza ukapitia hapa ili tuwe on the same page. Maana naona mimi naongelea sheria wewe unaongelea language na semantic.
Nimeangalia kilichomo kwenye hiyo link na sijaona tofauti yoyote ile, ya kimsingi, na fasili za kamusi nilizokuwekea.
Labda tofauti kubwa iliyopo ni maelezo ya kujazia nyama tu suala zima la public domain lakini maana ya msingi ni ile ile[kwenye hiyo link].
Na ndiyo, naongelea lugha kwa sababu hakuna sheria yoyote ile bila lugha. Lugha ni kiini cha sheria.
Kwa hiyo semantics, syntax, grammar, parts of speech, punctuations marks, na mengineyo, yote yana matter sana.
Kuna watu huwa wanashinda na kushindwa kesi kwenye mambo ya kiufundi yahusuyo makosa ya lugha.
Kwenye sheria lugha is almost everything. Any lawyer worth his or her salt will tell you that if you can't use the correct language then you can't effectuate your clients' wishes.
So you can't pooh-pooh the importance of language in law. You can't.
Kitu hakiwezi kuwa public domain bali kinaweza kuwa 'in public domain'. Ni kama vile unachanganya kati ya kitu kuwa a 'public property' na kitu kuwa kwenye 'public domain'.So does it mean kwamba availability ya kitu freely publicly ndo kina kuwa public domain.
Or
Kinakuwa public domain only when not protected by copyright?
Kisheria under Intellectual Property.
Kitu hakiwezi kuwa public domain bali kinaweza kuwa 'in public domain'. Ni kama vile unachanganya kati ya kitu kuwa a 'public property' na kitu kuwa kwenye 'public domain'.
Kuna tofauti kubwa hapo na ndo maana nina mashaka kama unaelewa maana ya kuwa 'in public domain'.
Tatizo lako nikianza kukuelezea maana za hayo maneno unasema mimi najadili mambo ya lugha.
Sasa sijui unataka nijadili nini wakati naona kabisa hujui maana ya 'in public domain'.
Anyway, sio kesi bana. Happy weekend
Na hapa asipoelewa bc huyu atakua kichwa kimepungua kidigoMkuu unahangaika na MTU aliyeishia darasa la Pili D. Hajui chochote