Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,698
- 12,425
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,
"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki. #sanamu"
Ikumbukwe kuwa Madaraka alihusika kwenye mchakato wa kulijenga Sanamu la Baba wa Taifa na pia ni moja ya watu waliosema kuwa Sanamu lililojengwa linafanana na Baba yake licha ya Watu wengi kukataa.
Mjanja M1 ✍️