figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,202
- 64,683
na mie nimemlipizia alivyonifanyia jana,nilimkuta maeneo hatarishi sikukwambia tu........
wii kumbe uliona,ila sio kama kaka ako simpendi,nampenda sana tu.......
Bishanga ana kaswende na gono.Yeep! Ni kama Bishanga na Nyani Ngabu vile.
Pole sana Madame B....nikuagizie uji sheratoni?Jamani, naendelea vizuri.
Muda huu namalizia dripu nirudi nyumbani.
ladyfurahia asante mama.
NAWAPENDA SANA WANA CHITCHAT.
Ungekua unanipenda ungenivua nguo mbele za watoto?. hata kama nimekukosea ulitakiwa uwena subra hadi ntakapo rudi?. Je umefurahi unavyo nivunjia heshima?. Mamndenyi naomba uje umpe somo mke wangu. Kaota mapembe gafla. Mia
KOKUTONA hivi Kaizer mission yake ya kudandia trip ya kina nitonye imefanikiwa!!!!!!Kaizer yuko kipande ileee anahangaika kudandia safari ya Arabela na hus nitonye na sisi KOKUTONA, Fixed Point na Heaven on earth
Ok...will wait for your flash light
Ungekua unanipenda ungenivua nguo mbele za watoto?. hata kama nimekukosea ulitakiwa uwena subra hadi ntakapo rudi?. Je umefurahi unavyo nivunjia heshima?. Mamndenyi naomba uje umpe somo mke wangu. Kaota mapembe gafla. Mia
hahahaa sio wewe na ndugu yako naniliyu kweli?!!Yeep! Ni kama Bishanga na Nyani Ngabu vile.
....hayo ndo maneno..kamatiaa usiachie tenaShem wala usitie shaka, tumemalizana na yfu Lady doctor na niko naye hapa kitandani.
....hayo ndo maneno..kamatiaa usiachie tena
My wii sasaivi si upo na Ben Saanane au unataka wote?Kwa hyo my wii Chocs kusema kuwa wahalalisha uhusiano batili wa mgoni wangu Lady doctor na my huz Arushaone?
Haya.
Nitarudi.
Rafiki kwanini mnanielewa vibaya jamani?