Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Si unajua ukarimu wetu wa watanzania, usiwe na shaka na mimi embu fikiria mtu ambaye anakuwazia mema anaweza kukufanya kitu kibaya?

Mhhhhhhhhhhhhhhhh..................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nataka hausi geli wa kunipikia vitu kama hizi.

304394_1660675280737776_1003826376_n.jpg
 
Yani hunishindi mimi mamito cacico.
Asante nimeshapoa Shosti.
Ila nikikumbuka mambo yako........nabaki kukufurahia kila siku.
aiseeeeeeeee
chezeiya mimi weye?? it was fun kwakweli! niliifurahia siku ile! nipo mwaya napigika kama kawa, kama dawa! itabidi tru-arrange tena, tukae mkao wa kungu la comoro! nataka niwe legeee, si unajua maeneo yale huwa linakuwa jimbo huru?? vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Yaani hapa niko full kama Mgambo na Kirungu.
afu Zinduna namtafutaga sana, sijui alikuwa chimbo gani,natka nimuone maana nimeambiwa ni Pacha wangu.
Akina gfsonwin na snowhite kila siku niko nao msambweni.
Labda LARA1,sina kumbukumbu nae,mara ya mwisho MMU.
chezeya wazee wa chimbooooo chini ya uongozi wa dereva Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
chezeiya mimi weye?? it was fun kwakweli! niliifurahia siku ile! nipo mwaya napigika kama kawa, kama dawa! itabidi tru-arrange tena, tukae mkao wa kungu la comoro! nataka niwe legeee, si unajua maeneo yale huwa linakuwa jimbo huru?? vigezo na masharti kuzingatiwa!

kungu la comoro ukimiksi na halua za ngazija!lol
mke mwenzangu wa sirini mbona mume wetu angekoma!
 
Chimbo lilelile?
 
Hapana chezea madada wa Town....
Afu lile Chimbo liko Poa sana mamito.
itabidi tutafutane tena jamani.
ile Kampani sijapata iona, tena safari hii, DOMPO ziwe teleeeeeeeeeeeeeeeeee.........

Hv mdogo wetu Mentor yupo kweli?
 
Last edited by a moderator:
kungu la comoro ukimiksi na halua za ngazija!lol
mke mwenzangu wa sirini mbona mume wetu angekoma!
umeona eeeeeeee, this time tuanzie makaburini kinondoni tukamuombee kidogo! lol! what a loss jemeni?? mzima wewe lakini?? gfsonwin kasafiri alikuaga?? nimemwambia anipakie dildo akuje nazo pande hii za size tofauti, lol!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom