cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
nitafutie mkeka, nataka pale kwenye miwa pawe useful next tym!! haiwezekani miwa iachwe hivyo hivyo wakati walaji wapo!We nawe mikwara miiiiiingiiiiiii, wakati hata Kibo hufiki.
Watu twajilipua we watoa macho.
Na safari ijayo tutakunywesha kinguvu.
Lile chimbo pana atiiiiiii.