Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Na mwaka huu tutawasuta mpaka muhame mji.
Na tunaanza na wewe maana nimepata habari kuwa ulimkuwadia mume wangu Ruttashobolwa mpaka akapata mke.
Jiandae............

Usinitafute ubaya mie m baba wa watu, mumeo we mwenyewe unamjua alivyo shingo feni akiona sketi, wa kumkuwadia awe Ruttashobolwa!??? ukitaka ukweli muulize ndugu yake Judgement
 
Last edited by a moderator:
Usinitafute ubaya mie m baba wa watu, mumeo we mwenyewe unamjua alivyo shingo feni akiona sketi, wa kumkuwadia awe Ruttashobolwa!??? ukitaka ukweli muulize ndugu yake Judgement

Wewe na Judgement lenu moja.
Huyo unaesema nimuulize unamjua kabisaaaa.
mtu yuko na mdogo wangu beibe nasty lakini bado anataka nimtafutie kimwana nilietoka nae tanga.
kama si usaliti ni nini?
Me nini usongo na wewe tuuuuuuuuuuu.......!!!!!!!!!!!!
:A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::fencing::fencing::fencing:
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By Madame B
akhuuuu
Ukinilimboka jeeeeee?????

Nitakupa ruhusa ya kunikagua kama nimebeba silaha usiogope mama

nitonye a human being is always a walking weapon.
 
Last edited by a moderator:
Kama hivyo sawa. Za udalali ngapi nianze kupiga debe?

Best we acha tu.
si unawajua wabongo walivyo?
Unafanya kazi ya kanisa malipo mbinguni.
Inahuuuuuuuuuuuuuu...........???????????
 
watafute wote hao muunde utano mtakavitu ohh sore ni utano mtakatifu.

Afu Arushaone nahisi hilo Group litakuwa Khabari ya Mjini ktk Magazeti ya Udaku.
Nitawatafuta ili tufungue kampuni........lol...........
Mkileta za kuleta:fencing::fencing: :target: :target: :target::target:
CHEZEA MADADA WA MJINIIIIIIIIIIIIIII..................
 
Usijali Madame B!! Nitajitolea kulisajili hilo group BRELA.
 
Last edited by a moderator:
Jamani jamani,
Asikwambie Mtu, Chit Chat tamuuu.....!!!!!!!!!!, matumbo nilikumisijeeee, japo najua huko uliko unaguna tuuuuuuuuu.............!!!!!!!!!!!! Madame B nimerudi na Ari mpya, Nguvu mpya
Wanaume nimewaletea vimwali toka Tanga, PM kama utahitaji.

Ni yuleyule Nyonga mkalia ini la Ruttashobolwa na Arushaone japo kajidai kuwaongeza Preta na Blaki Womani.
Nakwambia tutabanana humu humu,Mkimwaga mboga, me nazizoa naziosha kisha nazibugia,na sitamwaga ugali kamwe.
Werrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

UNAKWEA MNAZI HUKU UMEVAA MSULI, UNATEGEMEA NINI.....???????

kuonyesha busha
 
Back
Top Bottom