Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,841
Reaction score
37,579
Jamani jamani,
Asikwambie Mtu, Chit Chat tamuuu.....!!!!!!!!!!, matumbo nilikumisijeeee, japo najua huko uliko unaguna tuuuuuuuuu.............!!!!!!!!!!!! Madame B nimerudi na Ari mpya, Nguvu mpya
Wanaume nimewaletea vimwali toka Tanga, PM kama utahitaji.

Ni yuleyule Nyonga mkalia ini la Ruttashobolwa na Arushaone japo kajidai kuwaongeza Preta na Blaki Womani.
Nakwambia tutabanana humu humu,Mkimwaga mboga, me nazizoa naziosha kisha nazibugia,na sitamwaga ugali kamwe.
Werrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

UNAKWEA MNAZI HUKU UMEVAA MSULI, UNATEGEMEA NINI.....???????
 
Welcome-back-Frances-teddybear64-30997286-433-274.gif
 
Madame B, karibu tena ukiwa na hiyo kasi ya ANGUKA
Ari zaidi
NGUvu zaidi
KAsi zaidi
 
Last edited by a moderator:
Welcm back mamito....


Asante saaaaaaana mamito Ciello.

Kwanza, Hongera kwa ushindi wa Miss Chit Chat,
Pili, Pole kwa mikiki mikiki ya Cat walk enzi za mafunzo.

Vp Kuna Jipya ili niingie mzigoni?????
 
Last edited by a moderator:
tulikumissije shostisto? karibu tena Madame B, sisi tulijipoozea tu huku bwana.....naona ari mpya, lol!
 
Last edited by a moderator:
tulikumissije shostisto? karibu tena Madame B, sisi tulijipoozea tu huku bwana.....naona ari mpya, lol!

Yaani Shoga a'ngu nilikumisije???? FP nani Mchokozi tuanze kumuweka kati????
vidole vyaniwasha mieeeeeeee......,
Nimeyamiss masingi.
 
Last edited by a moderator:
No hakuna labda unipe mbinu 2 nitoke vp!
Asante saaaaaaana mamito Ciello.

Kwanza, Hongera kwa ushindi wa Miss Chit Chat,
Pili, Pole kwa mikiki mikiki ya Cat walk enzi za mafunzo.

Vp Kuna Jipya ili niingie mzigoni?????
 
Last edited by a moderator:
Yaani Shoga a'ngu nilikumisije???? FP nani Mchokozi tuanze kumuweka kati????
vidole vyaniwasha mieeeeeeee......,
Nimeyamiss masingi.
mwenzangu, hata mimi sikuwepokuwepo, ila nilikuwa nafwatilia mambo kwa wiziwizi tu, si unajua kama hakuna miss basi mvuto ukapotea!
 
Back
Top Bottom