figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,175
- 64,551
Heheheeee mi nahitaji kuwa na Kipipi tu na si mwingine so labda uhakikishe anakuja kuwa nami milele
Mkuu naomba tuheshimiane kwa Kipipi. Juzi nlimsalimia Amyner kidogo tu lakini ulinisimanga hadi nikakoma. unanikanyaga bahati mbaya nakulipua makusudi. chezeya mali ya figganigga weye.
Jamani mimi namshangaa huyu B52 anavyo piga sarakasi wakati amevaa taulo. weraweraaaa....!!!. chezea kipipi weye!. mia
Last edited by a moderator: