Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Aah bro...hata dhambi hutubiwa!


Madame B fanya basi mpango tarehe isogezwe wikendi ile ingine! ama hutaki nikamwone wifi yako!

Afu cacico nahitaji ushauri kidogo juu ya wale ndugu zetu (mashemeji zako)..planning to make them my shemejiz too)..ila uwe sober not DOMPOD...!:confused2::A S 11:

Mentor jamani,
J'mosi ndo mwake.
Mpe udhuru huyo demu wakoooooooo.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kwa kusoma post zote za uzi huu, nimegundua kwmaba wachangiaji wote katika uzi huu jana walikesha baa wakilanduka..
Yaani tangu asubuhi ya leo mazungumzo yenu yote ni Pombe tu!

Haya semeni Jumamosi tukutane wapi kabla sijarudi zangu ZNZ Jumapili.

Sote 2takuwepo Brajec ya Savei. Jtahd uwepo.
 
Ujnatakiwa usigongane nae tuu kwenye anga zake Mungi na Paw hatakuwa na shida


Nicas Mtei umeshindwa kufua na kupika mwenyewe sasa unatafuta house gal sio
sio mbaya endelea kutafuta mradi tuu asije kugeuka mke

hyo itakuwa yatokanayo. Jumamoc utakuwepo Brajec?
 
Last edited by a moderator:
Uzuri wa Ritz anajaribu kujenga hoja ya kuwajenga upinzani badala ya kuwabomoa. Hata zomba naye hivyo hivyo, japo wakati mwingine anaonyesha mahaba ya dhati kwa ccm

Nimekuwa nikiwa kama kijana wa TANU Youth League, sikupenda kabisa utawala wa Nyerere wala sielewi kwanini Wabaguzi wa Ujinga wachache wamedanganywa na kutiwa mkenge kuwa eti hakuna kama yeye. Mwinyi na Mkapa nilikuwepo kwenye utawala wao ingawa sipendelei sana walivyoongoza lakini kuna mabadiliko fulani waliyafanya ambayo Nyerere yalimshinda kabisa. Mabadiliko ya kweli tuliyaona na tunaendelea kuyaona kwa Kikwete, Kikwete nilikuwa sina uhakika na utawala wake aliposhinda kura nyingi sana kwa mara ya kwanza alipochaguliwa, lakini mara tu alipoanza kuongoza, nikajuwa kuwa huyu jamaa ni mchapa kazi na kiongozi mzuri sana, kafanya mabadilko makubwa sana katika Tanzania kuanzia kisiasa mpaka kibiashara, kielimu, kiafya, kimtazamo.

Leo hii Watanzania tuna Uhuru wa kutoa maoni na kusema kuliko wakati mwingine wowote, hilo pekee ni hatua kubwa sana aliyotupigisha Kikwete.

Mimi ni mwana CCM, lakini katika demokrasia, hiyo hainizuwii kuchaguwa yeyote yule nnayeona anafaa kuiongoza hii nchi, kwa bahati mbaya kabisa na ukweli wa dhati kabisa, sioni kama Slaa au Mbowe kuwa ni viongozi wa kuweza kuongoza nchi, kwanza hakuna hata mmoja kati yao mwenye upeo na muono wa kumfanya awe Rais. Ikiwa atatokea kiongozi wa ukweli ndani ya chadema au chama kingine chochote kile au hata tukifikia kuwa na wagombea binafsi, ambae naona huyu anafaa kuiongoza nchi au hata jimbo tu, sitosita kumpa kura yangu na kumchaguwa kwa nia njema kabisa, u CCM wangu haunifanyi niwe kipofu na kiziwi na mwenye Ubaguzi wa Ujinga.
 
Nimekuwa nikiwa kama kijana wa TANU Youth League, sikupenda kabisa utawala wa Nyerere wala sielewi kwanini Wabaguzi wa Ujinga wachache wamedanganywa na kutiwa mkenge kuwa eti hakuna kama yeye. Mwinyi na Mkapa nilikuwepo kwenye utawala wao ingawa sipendelei sana walivyoongoza lakini kuna mabadiliko fulani waliyanfanya ambayo Nyerere yalimshinda kabisa. Mabadiliko ya kweli tuliyaona na tunaendelea kuyaona kwa Kikwete, Kikwete nilikuwa sina uhakika na utawala wake aliposhinda kura nyingi sana kwa mara ya kwanza alipochaguliwa, lakini mara tu alipoanza kuongoza, nikajuwa kuwa huyu jamaa ni mchapa kazi na kiongozi mzuri sana, kafanya mabadilko makubwa sana katika Tanzania kuanzia kisiasa mpaka kibiashara, kielimu, kiafya kimtazamo.

Leo hii Watanzania tuna Uhuru wa kutoa maoni na kusema kuliko wakati mwingine wowote, hilo pekee ni hatua kubwa sana aliyotupigisha Kikwete.

Mimi ni mwana CCM, lakini katika demokrasia, hiyo hainizuwii kuchaguwa yeyote yule nnayeona anafaa kuiongoza hii nchi, kwa bahati mbaya kabisa na ukweli wa dhati kabisa, sioni kama Slaa au Mbowe kuwa ni viongozi wa kuweza kuongoza nchi, kwanza hakuna hata mmoja kati yao mwenye upeo na muono wa kumfanya awe Rais. Ikiwa atatokea kiongozi wa ukweli ndani ya chadema au chama kingine chochote kile au hata tukifikia kuwa na wagimbea binafsi, ambae naona huyu anafaa kuiongoza nchi au hata jimbo tu, sitosita kumpa kura yangu na kumchaguwa kwa nia njema kabisa, u CCM wangu haunifanyi niwe kipofu na kiziwi na mwenye Ubaguzi wa Ujinga.

Ona sasa povu linavyokutoka.hli sio jukwaa la siasa
 
Shem ushaanza,
na beibe nasty je?
yaani mkiwaga mbali na majumbani mwenu mnavua pete za ndoa.

Shem umekuaje?
Wataka kunivunjia ndoa ?
Ama umetumwa nini ?
Hebu rejea usome comment yangu tena !
Au unachati ukiwa kaunta ya above? Una hatari wewee!
Mi na BeibeNasty tu'Mto na Foronya ujue?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom