Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Zitakuwepo. Za baridi na za moto
9c25b1a93ac232c638ae0bf8ee872af1_320x320.jpg
dah! hapa umenikosha. hivi miss chit chat Ciello atakuwepo. Namuomba kama atakuja aje peke yake halafu ajitahidi kuvaa nguo ambazo hazisumbui kuvua tayari kwa kupiga mbizi. Mimi ntakua mwenyeji wake. mia
 
Last edited by a moderator:
Tazama hiyo post inajibu nini kwanza. Halafu unajuwa maana ya chit chat? hivi nyinyi huwa mnasomeshwa ujinga?

hata kama.. Hukujua nia ya alye kumention. Nakushangaa ulivyokurupuka.
 
Jamani jamani,
Asikwambie Mtu, Chit Chat tamuuu.....!!!!!!!!!!, matumbo nilikumisijeeee, japo najua huko uliko unaguna tuuuuuuuuu.............!!!!!!!!!!!!

karibu tena mjini madame,mimi naendelea kuwapanga tu mademu hapa mjini..juzi nimepata kitoto kibichiiii jukwaa la nafasi za kazi nimekigongaje!!matumbo sometime nakuwaga HR..
 
madam B nasikia Ruttashobolwa kakumwaga kisa eti kakufuma na mihirizi kibao,ulipoulizwa mara oh Zinduna alinipa nimwekee kumbe kakupa mzee mdingamdinga wa makorora.
 
Last edited by a moderator:
Kama hujui, ukiwa chit chat uwe unajibu unavyovijuwa tu, utasutwa.

We! We!
Zomba tafaaa'zali unampa shemeji yangu masilesi hayana blueband unaniuzi ujue?
Si ungempotezea tu ?
 
madam B nasikia Ruttashobolwa kakumwaga kisa eti kakufuma na mihirizi kibao,ulipoulizwa mara oh Zinduna alinipa nimwekee kumbe kakupa mzee mdingamdinga wa makorora.

Haya maneno hata mi nimeyaskia , yaani nimeshasikia kwa watu 18 !
Bishanga unakua wa 19 nakusikia unayarudia !
 
Last edited by a moderator:
karibu tena mjini
madame,mimi naendelea kuwapanga tu mademu hapa mjini..juzi nimepata
kitoto kibichiiii jukwaa la nafasi za kazi nimekigongaje!!matumbo
sometime nakuwaga HR..

Jamani matumbo nilikumiss sana,
vp sasa shwanga?
Barida?
kwani wewe uko mjini,si nasikia uko Kibada?
Nina hamu na wewe sana.
 
Last edited by a moderator:
madam B nasikia
Ruttashobolwa kakumwaga kisa eti kakufuma na
mihirizi kibao,ulipoulizwa mara oh Zinduna
alinipa nimwekee kumbe kakupa mzee mdingamdinga wa makorora.

Bishanga jamani,
Nyie huwa hamtuliagi mpaka mpepewe na kina Kamgambile Mdingamdinga,
japo nakanusha semi yako kwa 100% NET.
Yaani kama vile 😎😎😎.
 
Last edited by a moderator:
Haya maneno hata mi nimeyaskia , yaani nimeshasikia kwa watu 18 !
Bishanga unakua wa 19 nakusikia unayarudia !

Shem hata wewe unanisaliti?
Kweli unamsapoti Bishanga?
Hujui kama huyo anapenda kuona penzi langu na Ruttashobolwa laenda Halijojo?
Haya bhana,ngoja nikanywe zangu gambe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom