Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Welcome back babyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
.............................................................
 
ha ha ha ha we mkareeeeeeeeee! niliisoma namba kimya kimya na niliyekuacha naye, nikajua hapa lazma sayari ya mars itafutwe!! nilikudoeaje viepe na kuku yule?? najua hukushiba, ila nilijua we upo hm utakula tu, ss mie, mpaka nianze kupasha viporo leo??? Jiwe Linaloishi yupo?? mwambie nimemmiss!!, mbona hasomeki wakati wahanga wanajuliana hali, ebo!!?
hahahaha, cacico nipo tele kama pishi la dengu..... malimwengu tu yanatubana .... j3 inakuwa kama imelogwa...ila nasomeka sasa nashukuru , kama uko poa mi pia buheri...
 
cacico sasa hapa ulikuwa unamfanya nini Nicas Mtei......... Huu utani haufai kabisa

Screen-shot-2012-08-16-at-12.30.52-AM.png
 
Last edited by a moderator:
Madame B karibu sana japo nimechelewa kuufikia uzi wako
Pole na masahibu yaliyokupata Nicas Mtei mbona hatuambiani aise kwenda kwako lushoto ilikuwa planned kwenda kuopoa wa kuja kukaa nae Jiwe Linaloishi aise una maswali mengi ya kujibu aise hebu tafuta mawasiliano
 
bad luck ni kwamba cjafanikiwa kuopoa. Nlikuwa natafuta beki 3.
 
Last edited by a moderator:
bad luck ni kwamba cjafanikiwa kuopoa. Nlikuwa natafuta beki 3.

Nicas Mtei ettii unasemaje
hebu fafanua vyema
beki tatu wakati una rum moja mjini ulitaka huyo beki tatu awe analaa wapi
ok ok nishapata maana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom