kuna kiwanja chaitwa brajec wangu! ni cha zamani ila bado chavuma, kipo savei kama waenda chuo kikuu! karibuje thatha??Kwa kusoma post zote za uzi huu, nimegundua kwmaba wachangiaji wote katika uzi huu jana walikesha baa wakilanduka..
Yaani tangu asubuhi ya leo mazungumzo yenu yote ni Pombe tu!
Haya semeni Jumamosi tukutane wapi kabla sijarudi zangu ZNZ Jumapili.
kuna kiwanja chaitwa brajec wangu! ni cha zamani ila bado chavuma, kipo savei kama waenda chuo kikuu! karibuje thatha??
Haye sema shoga, bajeti yake ni kiasi gani, sipendi ofa za Wabara, naogoma kulipishwa mie
Haye sema shoga, bajeti yake ni kiasi gani, sipendi ofa za Wabara, naogoma kulipishwa mie
Haye sema shoga, bajeti yake ni kiasi gani, sipendi ofa za Wabara, naogoma kulipishwa mie
Mkuu Mr Rocky angalia location yangu! Bado nipo sero mazee............ nikiwaona naingia chini ya uvungu hahaaaaa
Mhhh aise hiyo sero angalia wasikumwabepande aise ukatoka huko huna kucha wala meno Mungi
na usije ukapelekwa guatamano ya arusha mkuu
hahahah sero gani unakula bata hivyo hiyo itakuwa sero ya guest
hahahah anatafuta gia kwa nyuma... kasahau kama inakaa mbele
Tena kuna Afande moja baada ya kutoka sero akaniambia WE WAKALA PIPOZ UNATOKA WAPI HUMU!
Dah! kung'olewa kucha ni rahisi sana tusipofanya maamuzi ya haraka kule kwenye stress
Best we acha tu.
si unawajua wabongo walivyo?
Unafanya kazi ya kanisa malipo mbinguni.
Inahuuuuuuuuuuuuuu...........???????????
very fine charminglady, na mimi nimefurahi kuona tabasamu lako.... hope one day i wll see in reality
dah! jtahd uwepo. Kusogera tarehe ni dhambi.
Madame B fanya basi mpango tarehe isogezwe wikendi ile ingine! ama hutaki nikamwone wifi yako!Nimekuelewaaaaaaaaaaaaa
Tuonane Chimbo