Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

hakunijuza aseeee! Madam B kuja PM! nahitaji kujuzwa lol!


Shosti kwani siku ile ulilewaaaaa?????
Wan'tia shaka bhana,Picha lilikuwa nje nje jamani. Mtambuzi hakukujuza?
Maana na yeye ile miwani anaona mbali sana.
 
Last edited by a moderator:
hahahaa, mbona mwanitisha. Madame B na Nicas Mtei. please mume atakuja kunileta na kunifuata tu. je hapo ataruhusiwa ama kunileta na kunifata pia haruhusiwi? afu we nicas mbna unajiwah kuwa mwenyeji wangu? me nataka cacico ndo awe mwenyeji wangu!
tena nna chumba cha wageni na cha 3some kama hubby akiridhia ubapa wako! karibuje thatha!!??
 
hata usiwe mwoga. cacico atakuwa busy cku hyo.
bussy na mababu wa jf! mbona mababu hamjawatumia copy ya ukaribisho?? Mtambuzi alitoa huduma si ya kitoto, kweli mama ngina anajibwedea! waleteni na mababu wengine nipate tathmini, Asprin huduma zake kunako 6 by 6 hazina shaka, ndio maana wote nawapa cheti cha kujua ku-care, lol! mababu mpo juuuuuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Shosti kwani siku ile ulilewaaaaa?????
Wan'tia shaka bhana,Picha lilikuwa nje nje jamani. Mtambuzi hakukujuza?
Maana na yeye ile miwani anaona mbali sana.

kwi kwi kwi kwi. We nuksi sana. Halafu wewe.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha. Mi ndo ntakuwa mwenyeji wake.
yote heri! ila kesho yake usifungue uzi, ooohhhh nyama zake zipo ka 'couliflower' naombeni msaada!! shindwa nakwambia, kama huwezi lizombe kacheze tapo! achana na ngoma za wakubwa!
 
bussy na mababu wa jf! mbona mababu hamjawatumia copy ya ukaribisho?? Mtambuzi alitoa huduma si ya kitoto, kweli mama ngina anajibwedea! waleteni na mababu wengine nipate tathmini, Asprin huduma zake kunako 6 by 6 hazina shaka, ndio maana wote nawapa cheti cha kujua ku-care, lol! mababu mpo juuuuuuuuu!

vigrandpa vitaku keep busy...
 
Last edited by a moderator:
mwambieeeee, mhabarisheeeee, mtahadharisheeeee! tuna ubapa, lakini unacheza, tena bila vibration!! karibu charminglady! copy kwa Erickb52 na @c6!

mamito mbona unaniharîbia mwenzio, sema taratibu basi mwishowe nitanyimwa ruksa. futa kauli yako kabla jua halijazama!
 
Last edited by a moderator:
yote heri! ila kesho yake usifungue uzi, ooohhhh nyama zake zipo ka 'couliflower' naombeni msaada!! shindwa nakwambia, kama huwezi lizombe kacheze tapo! achana na ngoma za wakubwa!

hahahahahaha.haitatokea.. Mi ntam mjali wakati wa hcho kikao che2 tu. Hayo mengine mi staki.
 
Back
Top Bottom