Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
umeona eeeeee?? wapi eversmiling gal!
Hahahaha. Itabd tumuulize dada ake gfsonwin. Madame B alikwambia?
Last edited by a moderator:
umeona eeeeee?? wapi eversmiling gal!
Nini majungu mpaka masufuria.
Wachezea shilingi chooni???
amen nicas, habarisha uma basi, brajec ipi jumamosi hii niombe visa mapemaaaaaaaaaa!
anamwagilia ua la plastic! atasubiri sana tawi jipya lichipue! ebo!
Babu weeee tumepewa bureeeeeeeee.
Eti mke wangu analea............Analea dondaaaaa....???????????
Watu tunafyatua saa 2, saa 3 tuko juu ya vifua.
Hata nami namshanga,
Anakea mnazi wakati kavaa msuli??????
Atupishe sieeeeeeeeeee,
Miaka 100000000000000.
Huna lolote
maneno ya mkosaji hayooooooooooooo.
Nitauhabarisha. Brajec ya Savei ndo patanoga sana. Taarifa ziwafikie Mtambuzi, Mentor, figganigga mathematics, Jiwe Linaloishi, ubungo, Snowwhite, gfsonwin, Kijino, Eversmilin Gal, n.k.
charminglady acha kabisa.
watu wanapenda watafuniwe kisha wao waje kumeza tu.
Eti anaogopa majukumu.
Mwambie akiuza utumbo asiogope nziiiiiii.
Me na cacico tutamfunda tu.
roho yaniumajeee! wallahi this tym naja. wekeni time table mapema ili nami niwepo. make usafiri wa basi na hizi mvua, kuja huko watumia 2days.
copy to cacico, Madame B na Nicas Mtei.........
Na uje na Powder ya kuchezea Pool.
roho yaniumajeee! wallahi this tym naja. wekeni time table mapema ili nami niwepo. make usafiri wa basi na hizi mvua, kuja huko watumia 2days.
copy to cacico, Madame B na Nicas Mtei.........