Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Darling wanguweeeee usilete zako babu wewe umkome Zion Daughter wangu
Khaaa!!! Upo fasta.Usharithi mikoba ya @baba v ??
Mie naja na ch.u.p.i ya bambino kama zawadi baada ya msuto!!
Aroooo kumbe wewe ndo Shark? Nilikuwa sijui bana!
Bi dada nakuasa kutajataja kufuli humu!
Wengine twasisimkwa kama kuwasha swichi ya balbu vile!
Ebooo!
Kilawalawa unanianza? Umesahau nina misiri yako mingi ya kifisadi !
We hayaa!
Sijui nikusanue! Bt ngoja kwanza niendelee kukuhifazi.
Au ntake razi kabla makatta wangu hajalanduka!
Ohooo!
Hayakuhuu Kipipi
Habari za Hapa Naona Post inadada tu salama lakini Jr
Kuna mtu kapost utamu wa kuwa na id nyingi vp unazo ngapi wewe? Vp nije nikupitie?Za hapa ndo kama unavoziona.ID yako ya zamani ni ipi?
Kuna mtu kapost utamu wa kuwa na id nyingi vp unazo ngapi wewe? Vp nije nikupitie?
Sisimkwa tu, baadae si utarudi nyumbani bana!!
Hahahahahaha!Ona sasa una ngeu mmeo kiplagati26 kakucharanga mapanga kisa hujui kupika githeri na sukuma wiki (usibishe nimekuona Nairobi hospital muda mfupi uliopita). Si afadhali ungeolewa na Arushaone chalii wa arachuga na muuza dhahabu feki au Chimbuvu anayemiliki tp chimby ok jazz au angalau hata CHAI CHUNGU mrina asali wa urambo au ingeshindikana kabisa ungebanana na Ben Saanane waziri mkuu mtarajiwa wa TZ. Pole sana mama asiyesikia la mkuu ( na nasikia keshakutundika na mimba utakimbilia wapi). gfsonwin na King'asti wahini kenya mkam rescue mwenzenu anadundwa ka ngoma ya mchiriku.
Kwa kukupoza Madame B ngoja niku dedicate haka kamwimbo ka kwenye 1960's kaliimbwa na bendi moja ya Kenya.
Musa nimevumilia sana,
Ngumi zako za kila siku,
Kweli Musa uliponioa,
Sura yangu,
Haikuwa na alama,
Hata moja.
Nilinona,
Kama ngoima
Ya kericho.
Sanua, kama kweli we kijeba!