madame b.........i told you!

madame b.........i told you!

haihuu bibiweeeeeeeeeeeee.............na sare kwa watizamaji mwakeeeeeeeee

Picture%2B049.jpg
 
Una hamu na Kingoma cha Mkodobwe eee? Mamndenyi.......... Paloma............... Raiza.......... King'asti................ KipipiAndaeni kanga ya kumfunga msutwaji hukuuuuuuuuuuuuu
images
Leteni na madera hukuuuuuuuuuuu
images
my hubby weeh! Yan mimi nkisikiaga Madame B moyo unafanya paaaah! Siku njema kipenzi achana na huyo muhaya bishanga anachuki binafsi na ww.
 
Last edited by a moderator:
haihuu bibiweeeeeeeeeeeee.............na sare kwa watizamaji mwakeeeeeeeee

Picture%2B049.jpg
Paloma unashadadia mateso yangu sio.......subiri nitakufitinisha na sosoliso mpaka utamani kuangukiwa na ukuta wa morogoro road.
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndio wenyewe sio wale wanaogugumia wa kutoka kaskazini

kabla ya majamboz hakikisha umekula na kushiba sio ule wali na dagaa eti unaenda mechi ya ugenini ....utaishia aisiyuu...chezeiya wanawake wa kitanga wewe
 
my hubby weeh! Yan mimi nkisikiaga Madame B moyo unafanya paaaah! Siku njema kipenzi achana na huyo muhaya bishanga anachuki binafsi na ww.

mmmmmmhhhh Remote....my hubby.....moyo kudunda.....sielewi elewi hapa....we ni me au ke?
 
Last edited by a moderator:
Huku.............Ila Hela unayo au Porojo tu?
images
Usiwe na wasi mahabuba mtoto wa kitanga itabidi kutumia private jet ili kuavoid uchovu. Hope weekend nzima utaimalizia huko
 
Back
Top Bottom