Madam Rita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madam Rita

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyani Ngabu, Mar 27, 2012.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Huyu ni shombe shombe wa wapi?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna Watanzania waliobaki ambao wanaongea bila kuchanganya lugha za Kiingereza na Kiswahili kweli?

  Na ni nini sababu za kuchanganya changanya hizi lugha mbili? Ni kwamba hawajui lugha mojawapo kwa ufasaha au wanajua lakini wanaleta mashauzi tu?
   
 3. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ...mi naona ni mashauzi tu mkuu....
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  huyo ritha wakati bss inaanza alikuwa anajua kiswahili, ila kadri ilivyokuwa inakuwa na kuingia season mpya na yeye kiswahili kinampotea, mwaka jana ndo ilikuwa balaa hadi lafudhi ya mashaka, nahisi mwaka huu bss itakuwa full ung'eng'e  ila napenda anavyojipenda...
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...hana lolote huyu madam...kizungu chenyewe cha kuunga na supaglu!...broken tupu...anajua kuvaa tu mavitu ya bei ghali...na amekazana kufunika lile kengeza mpaka kaweza!..LOL
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  "Mitanzania ina wivu wa kike" B.W Mkapa (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1995-2005, Mwenyekiti wa CCM 1995-2005, hazina ya Taifa)

  My take:
  Rita Mzuri Bhana, tuache utani..
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sijaona mahali mtu amesema ni mbaya bana!...mzuri analiwa nyama,?
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  Mmmh yamerudi tena ya rita.
   
 9. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​miafrika ndivyo tulivyo
   
 10. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hakuna binadam Mungu aliye muumba ni mbaya . Ukimwona mtu ni mbaya jua macho yako ndio yenye matatizo.
   
 11. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi ni mtoto wa madam rita,naenda kusema
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mi nachanga sababu naona uvivu kukumbuka neno la lugha ninayo tumia.
  Nikiongea kiingereza na nisikumbuke au nisijue neno fulani,
  Nasema kwa kiswahili tu. And vice versa (kiingereza kina nipa shida zaidi)
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbwembwe mixer uzungu..
   
 14. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  Mwacheni mjasiriamali
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  by the way ni kasumba tu ambayo most of people wanakuwa wanajifanya kuwa more superior than others.....mara nyingi ukiwa kwenye place like mhh hotrel au ukiwa ume chil club na u want to take shoree basi u must propose kwa ngeri....

  .....hata ukifika kwenye most ya office nyingi za umma au private ukiongea kitasha unasikilizwa haraka kuliko kutwanga kiswazi.....
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  :cool2::cool2::cool2: :violin:

   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Humu humu JF kuna Wachanganyaji wa Lugha Kibao, Kwa hiyo hata kwake si lakushangaza sanaaaa
   
 18. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  kwani kuchanganya lugha kuna tatizo gani jamani
  eh mwache dada wa watu bana na maisha yake!
  hata hakuna alichowakosea................................
   
 19. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  kiswanglish ni kawaida kwa wabongo.
   
 20. Mzenjibar

  Mzenjibar Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  umeona eeeh
   
Loading...