Madam Rita

Hivi kuna Watanzania waliobaki ambao wanaongea bila kuchanganya lugha za Kiingereza na Kiswahili kweli?

Na ni nini sababu za kuchanganya changanya hizi lugha mbili? Ni kwamba hawajui lugha mojawapo kwa ufasaha au wanajua lakini wanaleta mashauzi tu?

Sio mashauzi... It happens! (Oops! I just did it..lol)
Wewe huwa hauchanganyi lugha kwani?
 
by the way ni kasumba tu ambayo most of people wanakuwa wanajifanya kuwa more superior than others.....mara nyingi ukiwa kwenye place like mhh hotrel au ukiwa ume chil club na u want to take shoree basi u must propose kwa ngeri....

.....hata ukifika kwenye most ya office nyingi za umma au private ukiongea kitasha unasikilizwa haraka kuliko kutwanga kiswazi.....

:clap2:
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
...hana lolote huyu madam...kizungu chenyewe cha kuunga na supaglu!...broken tupu...anajua kuvaa tu mavitu ya bei ghali...na amekazana kufunika lile kengeza mpaka kaweza!..LOL
Mh we nae mpaka umsemeee vibaya Rita na maumbile yake, mbona weye mikono yote ya kushoto hatukukebehi?? kaz kuchungulia wenzio ka avatar yako
 
Hivi kuna Watanzania waliobaki ambao wanaongea bila kuchanganya lugha za Kiingereza na Kiswahili kweli?

Na ni nini sababu za kuchanganya changanya hizi lugha mbili? Ni kwamba hawajui lugha mojawapo kwa ufasaha au wanajua lakini wanaleta mashauzi tu?
[h=2]Topic: Ubaguzi wa rangi Marekani; case ya Martin Trayvon. Kwa wasio wavivu kusoma tu![/h] by Nyani Ngabu

Replies45Views515

[h=3]
icon1.png
Re: Ubaguzi wa rangi Marekani; case ya Martin Trayvon. Kwa wasio wavivu kusoma tu![/h]
Unaishi wapi Jasusi? In the hood or in the suburbs? Manake kuna perpetrators kibao ambao wako huru...
 
madamu ritaaa ni from iltrea kunaa dungu yakee yukoo ugandaaa,ni mmiliki wa cheries pub kabalangala.so kuongea english na kiswaziii kwako ni kawaidaaa
 
ishu ya kuchanganya lugha kwa mimi sioni kama ni tatizo..jaribu kuchunguza duniani kote ambako lugha za mawasiliano ni mbili au zaidi halafu ndo utajua ka sio ishu, chek SA, chek Kenya, UG hata warusi nao wanamix na kiingereza.. so bro take it easy acha kujiumiza kwa vitu ka ivo..
 
Mi nachanga sababu naona uvivu kukumbuka neno la lugha ninayo tumia.
Nikiongea kiingereza na nisikumbuke au nisijue neno fulani,
Nasema kwa kiswahili tu. And vice versa (kiingereza kina nipa shida zaidi)


siku nyingine usipoelewa neno kwa kiswahili na kingereza, ongea ile lugha yetu ya asili.
 
Back
Top Bottom