Madaktari wote waliogoma kufukuzwa kazi na utumishi!

Wachina wanaweza kuichukua hospitali nzima na hao wafanyakazi kulipwa na serikali yao ya uchina ,kuna madaktari kama milioni moja hawana kazi nchini China.

Na wakalimani wanahusika hapa Mwiba, manake tusije pewa dawa za ugonjwa ambao hatukuutamka!
 
serikali si dhaifu tu, but also ruthless...I am sure wanaweza fukuza Doctors wote, maana hakuna jipya from them. They have nothing to offer on table than empty promises.
 

Amri imetolewa against MAT na sio jumuiya ya madaktari keep that in mind.MAT kama MAT haina mamlaka ya kuanzisha mgomo
 
Udaktari bila ya leseni ya kutoa Tiba ni sawa na zero! Wanafukuza halafu wanapoka leseni na halafu wanaeleza sababu ya kupoka hiyo leseni.Ni mgomo na kusababisha vifo, Baba tembea dunia nzima kazi ya udaktari utasahau.Hakuna atakayekupa leseni!
 
mtawalipa sh. Ngapi ndg wewe na serikali yako? Kwenye rangi pana utata na unachokisema.

Ndugu yangu katika hili kwa kuwa linafanyika kwa kukomoana serikali iko tayari kulipa hata mara kumi ya inacholipa sasa hivi. Hivi haujafahamu tu kuwa suala lilikuwa siyo uwezo wa kulipa bali kukomoa kwa sababu mgomo huu unaangaliawa kisiasa zaidi.
 
Wacha watimuliwe maana aliyegoma na aliyetimuliwa wote hawapo kazini. I dont see the difference
 
Tukifukuza wengine tutawapata wapi? Tunaota ndoto za mchana mchana...lets be serious on some issues. Kama wabunge wanapewa wanachodai, why not doctors?

Itaanza kuwatumia Rural Medical Assistant(s) (RMA) kama madaktari. Ukiwa dhaifu ni bora hata husionyeshe kwa watoto, hawa watoto watakaokosa huduma hizi nao watajua kuwa JK na serikali yake ni DHAIFU
 

huna vyanzo kaa kimya bwana mdogo
 
Hizo propaganda kuwa Drs wanataka walipwe 13 mil.uongo , anayeeneza hivyo ni mshenzi.Pili 90% ya Dr hawaishi maeneo yao hosp.na wala hawapewi house allowance, sasa hawa wanaoletwa kuna nyumba wa meandaliwa? Au wataenda kuishi uswahilini? Na watakaa kwa muda gani hapa ? Vipi kuhusu mazingira mabovu yao vifaa na wagonjwa? Shame on weak govt.
 

Serikali iliyopoteza network inafanya kazi kama samaki mkizi.
 

Hao madaktari wanaowatoa baadhi ya nchi za nje wanawalpia kiasi gani? mbona kwa hesabu ndogo itazidi madai ya madaktari wanayodai.
 
Serikali haina ubavu huo pambaf wewe mtu anayeweza kufukuzwa ni fa la kama wewe ambaye huna ujuzi wowote ambao ni exceptional wewe umesomea kupost jamii forum lakini huchangii ili iendelee kuwepo

Join Date : 27th November 2007
Posts : 8,998
Rep Power : 6889
Likes Received 627
Likes Given 452
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…